Division 3 points 29,ndyo nn,maajabu ya Necta

Division 3 points 29,ndyo nn,maajabu ya Necta

mikazó

JF-Expert Member
Joined
Jan 24, 2013
Posts
204
Reaction score
16
Mdogo wangu kapata division 3 ya points 29 kwa maelezo yake,mi nikamwambia hyo ni div 4,ananibishia,hii imekaaje?
 
A=1 point
B+=2 points
B=3 points
C=4 points
.
.
.
.
Hapo kwenye B+ na B pamewachanganya wengi wasiofuatilia mabadiliko yanapotokea.
 
Duh,kwel elimu ye2 majanga.,imekua kama chuo sasa,sasa kwa point 29,atapata shule kwel?
 
Sasa points 29 huwa ni division 4 leo hii ni 3. Yaani kama ndo hivi ni hatari sana na pia ni majanga makubwa sana katika nchi.Huko sio elimu bora bali bora elimu.
 
Back
Top Bottom