Young Teacher
Senior Member
- Jul 29, 2012
- 186
- 43
Habari siku hii mpya walungwana, mwenzenu nimepata kigugumizi ktk matokeo ya shukumulu system, Kuna dogo kaandikiwa division IV ya 38 sasa daa sijaelewa kabisaaa, nilipotaka nichek kwingine nnusura nidondoke nlipoiona 0 ya 49, Hebu sema yaliyokusibu matokeon humu!