Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huyo mwanamke atakua mkorofi, bado society hajakubali nafasi ya mwanaume katika conjugal duties.Nzur Sana[emoji4]
Sema tatizo wanawake ukiifanya sikU Moja kumsurprise, yeye Anaona kumbe ndo wajibu wako.
Hachelewi kukuletea mbeleko mbele za wageni sebleni kukukumbusha utekeleze wajibu wako
Hili swala ni pana sana, Ninahisi lilichangia Wazungu kuwa na self contained houses ili yanayotokea nyumbani yabaki nyumbani.Society ipi Mkuu Sky Eclat?
Achana na mada za kiboya wakati maccm yanamuonea mbowe hizi mada zilete baada ya mbowe kuachiwa huru.
Hili swala ni pana sana, Ninahisi lilichangia Wazungu kuwa na self contained houses ili yanayotokea nyumbani yabaki nyumbani.
Bila kuja ki race katika jamii zote nafasi ya mwanamke ni nyumbani. Victorian era mwanamke akipata ajira ni ishara kuwa mshahara wa mume wake ulikua mdogo.
Ni kweli kabisa, mke anapewa hela na mume wake za kutunza nyumba kila mwisho wa mwezi. Ole wako useme zinekwisha. Zikiisha mama inabidi aamke asubuhi kuoka mikate.Majuu baadhi ya MABEBERU eti kuna 2 self contained katika baadhi ya nyumba za kisasa. Couples hawalali tena pamoja mwenye nyege zake anamfuata mwenzie wanaenda kunyanduana wakimaliza anarudi kulala kwake.
Kuna bilionea mmoja mmarekani miaka ya karibuni alitafuta kibinti cha kujirusha nacho. Mkewe akajua akaamua kufile kwa divorce. Nadhani ndoa yao ilikuwa na miaka 40 na ushee walioana wakiwa bado na umri mdogo. Mume hakutaka mke apate hata senti kwa kuwa alikuwa ni mama wa nyumbani akadai kazi yake ilikuwa ni kulea watoto wao nadhani wanne, kusafisha nyumba, kufua na kupika hivyo hakuchangia chochote kwenye utajiri wake. Jaji akamwambia ME hayo yote aliyoyafanya kwa miaka yote mliyokuwa pamoja yalikupa wewe peace of mind hivyo uweze kufanya kazi zako vizuri na kupata promotion kila mara hadi kufikia kuwa CEO. Hivyo huo utajiri wako naye kachangia sana tu kwa hiyo anastahili mgao wa pasu kwa pasu. Wanawake na ME wapenda haki za akina mama walifurahia sana hukumu ile.
Ni kweli kabisa, mke anapewa hela na mume wake za kutunza nyumba kila mwisho wa mwezi. Ole wako useme zinekwisha. Zikiisha mama inabidi aamke asubuhi kuoka mikate.
Conjugal roles za mama ni ngumu sana, afikirie cha kupika kila siku na watu waridhike na bado usiku jitu linarudi na mipombe yake linakuparamia.
Kumbe ni wajibu wa nani? Huyo mtoto sio wako?Nzur Sana[emoji4]
Sema tatizo wanawake ukiifanya sikU Moja kumsurprise, yeye Anaona kumbe ndo wajibu wako.
Hachelewi kukuletea mbeleko mbele za wageni sebleni kukukumbusha utekeleze wajibu wako
Nazoom hapo wanaingia dada,Kaka, mashangazi,wajomba and the likes hapo nikusimangwa mpaka utakoma kwa wife lazima aonekane kigagula🤣🤣 utasikia katulogea mtoto huyu🤣🤣 haya mambo ni magumu jamani
Kwakua mwanaume ndiye bread winner, anaona anayo haki ya kuridhishwa hata kama mama hayuko tayari.
There will be hell on Earth 🙄🙄 like as what's we'r experiencing lately with MamaHii mada ina nafasi yake katika kesi ya Mbowe ‘If a woman rules the world what would happen’.
Umewaza sanaAkitokea mhuni akamtongoza mke akapewa na mhuni akawa anafanya naye mapenzi badala ya kumbaka ndoa imeingia dosari kubwa. KE anamwambia mhuni, “Na mume wangu tukifanya si enjoy hivi” basi mhuni anaongeza mautundu na maujuzi.
Matajiri wa zamani walichapiwa sana tu, talaka ilikuwa ni taboo na inaharibu sura ya familia. Mzee anakua na official mistress ambae hata marafiki zake wanamjua lakini kwenye sherehe kubwa anakwenda na mke wa ndoa.Akitokea mhuni akamtongoza mke akapewa na mhuni akawa anafanya naye mapenzi badala ya kumbaka ndoa imeingia dosari kubwa. KE anamwambia mhuni, “Na mume wangu tukifanya si enjoy hivi” basi mhuni anaongeza mautundu na maujuzi.
Kwaiyo ndoa za sasa rahisi sana ukidai talaka hata mama anakusaidia utasikia Rudi nyumbani mwanangu kwenu haujaua hata kile chumba chako hakijapangishwaMatajiri wa zamani walichapiwa sana tu, talaka ilikuwa ni taboo na inaharibu sura ya familia. Mzee anakua na official mistress ambae hata marafiki zake wanamjua lakini kwenye sherehe kubwa anakwenda na mke wa ndoa.
House manager hataweza kukubali kulea watoto wako na mama yako aliye angular shambani amevunjika mkono. apike , afue, asafishe nyumba bila mshahara. Kisa ni yule Beberu wa mahari alipelekwa kwenu.Kuna watu watakuja kusema....."tafuta pesa"[emoji23][emoji23]...uweke..."house manager"
Siku akisahau kuweka bins out tu...mnuno wiki nzima...[emoji854][emoji6]