Majuu baadhi ya MABEBERU eti kuna 2 self contained katika baadhi ya nyumba za kisasa. Couples hawalali tena pamoja mwenye nyege zake anamfuata mwenzie wanaenda kunyanduana wakimaliza anarudi kulala kwake.
Kuna bilionea mmoja mmarekani miaka ya karibuni alitafuta kibinti cha kujirusha nacho. Mkewe akajua akaamua kufile kwa divorce. Nadhani ndoa yao ilikuwa na miaka 40 na ushee walioana wakiwa bado na umri mdogo. Mume hakutaka mke apate hata senti kwa kuwa alikuwa ni mama wa nyumbani akadai kazi yake ilikuwa ni kulea watoto wao nadhani wanne, kusafisha nyumba, kufua na kupika hivyo hakuchangia chochote kwenye utajiri wake. Jaji akamwambia ME hayo yote aliyoyafanya kwa miaka yote mliyokuwa pamoja yalikupa wewe peace of mind hivyo uweze kufanya kazi zako vizuri na kupata promotion kila mara hadi kufikia kuwa CEO. Hivyo huo utajiri wako naye kachangia sana tu kwa hiyo anastahili mgao wa pasu kwa pasu. Wanawake na ME wapenda haki za akina mama walifurahia sana hukumu ile.