Mimi napenda sana tena sana malumbano, lakini si wewe huna hoja. Nimekuomba vigezo gani unavyovitumia kujua msanii anayejua/bora ?????? na nikakuwekea kwenye mabano kwamba wewe kwako,tuzo,kuuza sana, kuingiza pesa nyingi na kushika chati za juu kitaifa na kimataifa si vigezo sasa ulete vigezo, unanitajia tuzo ambazo mwanzo umekataa si kigezo lakini sasa hivi unakitumia, halafu usivyojua unachokishabikia eti unasema nimeweka tuzo ambazo hawajakutana, sasa umesahau tuzo za AFRIMMA AMBAPO WASANII WABONGO WALIKUWA 5, KIBA,VEE MONEY,MPOTO, DIMPOZ NA DIAMOND ALIBEBA 3.
Nimeomba kavideo ili tulinganishe, elewa swali, japo nilipenda sana ungeweka kavideo ya kiba akipokelewa ( jifunze kuelewa swali kabla ya kujibu)