Divock Origi: Nampenda zaidi Ali Kiba

Umecoment bas we ni mjinga zaid hahahaaaa mkichomwa mnawaka
Sasa ulichotuchoma sisi nini hasa ???? lete kipande cha video cha msanii wako yeyote aliyepata mapokezi kama haya hapa kwa wasanii watz.
Najua ninayeongea naye hayuko sawa lakini tutaenda sawasawa hivyohivyo ulivyo.
 
Sasa ulichotuchoma sisi nini hasa ???? lete kipande cha video cha msanii wako yeyote aliyepata mapokezi kama haya hapa kwa wasanii watz.
Najua ninayeongea naye hayuko sawa lakini tutaenda sawasawa hivyohivyo ulivyo.
Hahahahaaaaaa mapokez hata mwisho mwampamba kapokelewa jombaa twende kwenye hoja... Kwa hiyo ulicomment kumbe kwa sababu aliyesifiwa si diamond siyo?
 
Alipotoka kwa R Kelly na akina Falii ndo alitakiwa awike... akaichezea nafasi... kilichobaki mnalazimisha tu kwamba anajua kuliko DIMONDI..

Mtasubiri sana
Awike Mara ngap?.. Had kafanya na r.Kelly alimuwikisha nan?... Mtaumia nyny ohoooo
 
Mimi napenda sana tena sana malumbano, lakini si wewe huna hoja. Nimekuomba vigezo gani unavyovitumia kujua msanii anayejua/bora ?????? na nikakuwekea kwenye mabano kwamba wewe kwako,tuzo,kuuza sana, kuingiza pesa nyingi na kushika chati za juu kitaifa na kimataifa si vigezo sasa ulete vigezo, unanitajia tuzo ambazo mwanzo umekataa si kigezo lakini sasa hivi unakitumia, halafu usivyojua unachokishabikia eti unasema nimeweka tuzo ambazo hawajakutana, sasa umesahau tuzo za AFRIMMA AMBAPO WASANII WABONGO WALIKUWA 5, KIBA,VEE MONEY,MPOTO, DIMPOZ NA DIAMOND ALIBEBA 3.
Hahahahaaaaaa mapokez hata mwisho mwampamba kapokelewa jombaa twende kwenye hoja... Kwa hiyo ulicomment kumbe kwa sababu aliyesifiwa si diamond siyo?
Nimeomba kavideo ili tulinganishe, elewa swali, japo nilipenda sana ungeweka kavideo ya kiba akipokelewa ( jifunze kuelewa swali kabla ya kujibu)
 
Awike Mara ngap?.. Had kafanya na r.Kelly alimuwikisha nan?... Mtaumia nyny ohoooo
Najua unajua usinifanye nizidi kukutoa miakili kwamba hujui kuwa ule mradi si wa kiba wala wa R.Kelly na kwamba aliyewakusanya, alikusanya kundi kubwa sana la wasanii. ( Kumbuka kwa kipindi hiko DIAMOND PLATNUMZ bado ni dogo tu anasoma, hata nashangaa kiba amewezaje kuja kupitwa na DIAMOND karibia kwa kila kitu si pesa,muziki, tuzo, mashabiki na hata mapokezi kule anakoenda kupiga shoo.)
 
Lakini wakuu hebu tusaidiane, hivi unamuachaje mtu anayejitoa akili kimakusudi ni kumuogopa au kifurushi kimeisha ??? ( maana huu mtandao unasomwa na wengi wengine wakisoma kitu hawachuji wanakichukua kama kilivyo kwahiyo ukiacha kujibu mana yake atakuwa keshawapotosha wengi )
 
Kwanza kumlinganisha diamond na alikiba bado maana yake ni kwamba kiba yupo juu sababu ni hizi kizazi cha alikiba katika muziki wengi wameshapotea katika game bt yy yupo na still anamchachafya huyo mnayemuona ni msanii bora afrika kwa sasa japo hata south afrika hawamjui nataka nkuulize swali... Belle 9 ana tuzo ngapi zozote zile ntajie hapa.. Twende kwa hoja sasa kama unavyotaka... Then nambie profesa jay ana tuzo ngapi kisha malizia fid q na jay Moe wana tuzo ngap zozote unazozijua ww afu nambie sugu ana tuzo ngap zozote unazojua ww then muangalie nick mbish ana tuzo ngap then muangalie chid benz na kala Jeremiah walinganishe afu sema ww sasa kati ya hao nani mkali lakini nani ana tuzo Nyingi.... Hoja 2 hoja sasa.
 
Hahahaaaaaaaa uuuuuuuwi kama kuingiza pesa ni kigezo cha kujua muziki bas Ney wa mitego anajua kuliko Darasa na Rich mavoko... Zungumza vitu vinavyoeleweka ww
 
hata mimi mchezaji wa kyela united mwenye asili ya Lubumbashi namkubali sana Diamond
 
Huyu Playboy Bibi sijui ndio nani, naona ID mpya lakini mtu ni yuleyule.
 
Diamond alikuwa anasoma? Diamond kaishia vidudu acha kudanganya watu
 
Huyo nae ni kutafuta kiki tu kupitia jina la Diamond kama vile hakuna wasanii wengine nchini hadi amtaje Simba...

Akwende zake hukoooooo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…