Divock Origi vs Barcelona

Origi is a Kenyan by blood. His father is a Kenyan and his mother is also a Kenyan.
Kwan D.O ni mkenya au mmemkabidhisha ? Mmempokonya miguna wa miguna ss mnamshobokea D.O
 
ashaukataa ukenya mmekomaa tuu eti mkenya yeye ni mbelgiji mwenye asili ya kenya ila sio mkenya
 
ashaukataa ukenya mmekomaa tuu eti mkenya yeye ni mbelgiji mwenye asili ya kenya ila sio mkenya
Acha umbea, leta ushahidi kwamba ameukataa ukenya. Alafu katiba ya Kenya inakubali uraia pacha.
 
Wapi na ni lini alikataa yeye si mkenya? Hugo jamaa hukuja Kenya Mara mob sana. Hata last year alikuwa Kenya.
ashaukataa ukenya mmekomaa tuu eti mkenya yeye ni mbelgiji mwenye asili ya kenya ila sio mkenya
 
Naona wakenya mnalumbana wenyew kwa wenyew piganeni basi au niwaitie alshabab
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…