Divock Origi vs Barcelona

Divock Origi vs Barcelona

ashaukataa ukenya mmekomaa tuu eti mkenya yeye ni mbelgiji mwenye asili ya kenya ila sio mkenya
 
ashaukataa ukenya mmekomaa tuu eti mkenya yeye ni mbelgiji mwenye asili ya kenya ila sio mkenya
Acha umbea, leta ushahidi kwamba ameukataa ukenya. Alafu katiba ya Kenya inakubali uraia pacha.
 
Wapi na ni lini alikataa yeye si mkenya? Hugo jamaa hukuja Kenya Mara mob sana. Hata last year alikuwa Kenya.
ashaukataa ukenya mmekomaa tuu eti mkenya yeye ni mbelgiji mwenye asili ya kenya ila sio mkenya
 
Naona wakenya mnalumbana wenyew kwa wenyew piganeni basi au niwaitie alshabab
 
Back
Top Bottom