M24 Headquarters-Kigali
JF-Expert Member
- Jul 9, 2012
- 8,199
- 8,186
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Dr mauq🤔kafikaje tena huku mzeeMwaka 2025 Divorce lawyers wanakwenda kuwa Mabilionea.
Wateja (watarajiwa)
1. Wolper,
2. Nenga,
3. Dr Mauq
WAlifunga ndoa ama ni mahawara tu?Mwaka 2025 Divorce lawyers wanakwenda kuwa Mabilionea.
Wateja (watarajiwa)
1. Wolper,
2. Nenga,
3. Dr Mauq
SIster P si ameolewa juzi hapa wiki iliyopita, kaolewa na mchungaji. Au ilikuwa ni habari ya miaka ya nyuma?Mwaka 2025 Divorce lawyers wanakwenda kuwa Mabilionea.
Wateja (watarajiwa)
1. Wolper,
2. MC Pilipili,
2. Sister P.
MselaSIster P si ameolewa juzi hapa wiki iliyopita, kaolewa na mchungaji. Au ilikuwa ni habari ya miaka ya nyuma?
Amekuwa mama mchungaji.
MC pilipili anakuwa kama taahira hivi, sasa mwanamke asiye na tamaa utampata wapi? Mbinu tulishwapa, msifunge ndoa, oeni kimkakati huku pakiwa na precautions za kufa mtu. Mfano , usiishi nae kwenye nyumba uliyojenga, hata kama umejenga, pangisha kisha nenda kapange ndio usihi nae..Mwaka 2025 Divorce lawyers wanakwenda kuwa Mabilionea.
Wateja (watarajiwa)
1. Wolper,
2. MC Pilipili,
2. Sister P.
Safi sanaSasa huu utakua ni uzwazwa Yan nyumba yako cha kufia nini, fanya mfiche kama umejenga nyumba, pangisha kimya kimya
Huwezi sikia ndoa ya muislam......kwenye Uislam hamna huo ukanjanja na wiziMwaka 2025 Divorce lawyers wanakwenda kuwa Mabilionea.
Wateja (watarajiwa)
1. Wolper,
2. MC Pilipili,
2. Sister P.
Ndo umepata access ya mtandao leo nini?Huwezi sikia ndoa ya muislam......kwenye Uislam hamna huo ukanjanja na wizi
Tukubali tukatae uislam upo mbele ya muda,Kila kitu kimewekwa kisheria maelfu ya miaka nyuma iliyopita,ukiolewa unajua unakuja kufanyaje na utaondoakaje.
Hizi dini zinazowaambia waumini wake wanywe pombe ila wasilewe😁😃😃😆(maajabu utumie hypnotics ial usiwe sober) ndio utasikia huu ujinga
Mwanamke akifika miaka 60 na kuendelea ndipo Anatakiwa ajue Mali zako , kwenye umri wao wa 40 kushuka chini wanakua na tamaa kubwa hapo ndio wanakutana na matapeli wa mapenzi wanapewa mipango hewa wanaishia kutumika kingono na kutapeliwa pesa zao kama wanazo, hapo ukimuahidi mwanamke mambo makubwa na chupi anavua kirahisi haijalishi kasoma au laah, maana wanakua kama vichaaSasa huu utakua ni uzwazwa Yan nyumba yako cha kufia nini, fanya mfiche kama umejenga nyumba, pangisha kimya kimya
JINA: Zuwena Shishi,Huwezi sikia ndoa ya muislam......kwenye Uislam hamna huo ukanjanja na wizi
Tukubali tukatae uislam upo mbele ya muda,Kila kitu kimewekwa kisheria maelfu ya miaka nyuma iliyopita,ukiolewa unajua unakuja kufanyaje na utaondoakaje.
Hizi dini zinazowaambia waumini wake wanywe pombe ila wasilewe😁😃😃😆(maajabu utumie hypnotics ial usiwe sober) ndio utasikia huu ujinga