Diwani apost picha zake za utupu kwenye grupu la whatsapp la bunge

Diwani apost picha zake za utupu kwenye grupu la whatsapp la bunge

Mwenye utimamu ufanya vile awazavyo nakuona nisahihi ivyo..... Tumwambie next Tim aposti nyingine ili tumwone alikuwa sawa
 
Wanawake wasio na makalio wanapenda kupiga picha za uchi balaa
 
Rhoda
rhoda_omufumu.jpg
Huu msambwanda unatafuta kufumuliwa malinda.
 
We are sexual beings, the trouble is we try to deny that very fact.

Let her freak flag fly high. Why we got to demonize her just because she loves getting dick?

Humans with our misguided sense of morality.
 
Kenya wapo nyuma sana kwenye mambo ya kidigital
Diwani wa kuteuliwa wa kaunti ya Vihiga katika Mkoa
wa Magharibi nchini Kenya ametoweka baada ya
kuposti kimakosa picha zake za utupu kwenye grupu
la whatsApp, Ijumaa iliyopita.

Diwani huyo anayefahamika kwa jina la Rhoda
Omufumu alipost picha hizo zinazomuonesha akiwa
na mwanaume asiyefahamika, kwenye grupu la
WhatsApp la Bunge Dogo la Kaunti hiyo majira ya saa
3 na dakika 12 usiku.

Ingawa diwani huyo ametoweka, amekuwa akitoa
majibu kupitia kwa mwakilishi wake ambaye amedai
kuwa picha hizo zilitumwa bahati mbaya na mtu
ambaye alichezea simu yake na sio yeye kwani hajui
kutumia vizuri vifaa vya kidijitali.

Mwakilishi huyo aliongeza kuwa Omufumu ni kiongozi
kanisani hivyo hawezi kufanya kitendo hicho.
“Mtu alichezea simu yake… ni kiongozi wa kanisa
ambaye hawezi kufanya vitu kama hivyo kwenye
mitandao ya kijamii. Ameolewa na ana watoto
wakubwa,” alisema mwakilishi wa diwani huyo.

Kutokana na picha hiyo, kumekuwa na shinikizo
kubwa kwenye mitandao ya kijamii ikimtaka diwani
huyo kujiuzulu mara moja nafasi yake.

Kwa mujibu wa gazeti la The Star la Kenya, Diwani
mwenzake mwanamke, Maureen Ambasa amewataka
madiwani wengine wa kike kukutana haraka leo kwa
ajili ya kuunda kamati ambayo italichunguza kiundani
suala hilo.

Mume wa Omufumu pia aliwahi kuwa diwani..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ni vigumu mwenye akili timamu kurusha picha zake za utupu hasa mtu ambaye ni public figure
Ni vigumu mtu mwenye akili timamu kujipiga picha sehemu nyeti. Ni nyege ya aina gani inayomfanya mtu kuwaza kuchukua simu na kulipua picha sehemu za siri?
 
Back
Top Bottom