Mindyou
JF-Expert Member
- Sep 2, 2024
- 1,869
- 4,877
Diwani wa Kata ya Themi wilaya ya Arusha mjini Mkoani Arusha Petro Lobora wakati wa kikao cha Baraza la madiwani bajet ya halmashauri kwa mwaka 2025-2026 alisimama na kuzungumza kwa niaba ya madiwani kwamba Mbunge walio nae Mrisho Mashaka Gambo hatoi ushirikiano kwa madiwani pindi anapohitajika kutoa msaada wake kama mbunge wa Arusha mjini hapokei simu.
Aidha Diwani huyo alichukua nafasi yakueleza changamoto ya wafanyakazi wa kampuni ya General Tire ambao wako zaidi ya 3000 wanadai fidia zao mpaka leo hawajalipwa akimuomba Mkuu wa mkoa Arusha Mh. Paul Makonda awatatulie changamoto hiyo.