Papaa Mobimba
JF-Expert Member
- Jan 27, 2018
- 882
- 3,337
Hahahaha 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣Hata siku moja usije wadharau wajinga wengi wakiwa pamoja
2020 hapakuwa na uchaguzi hata 2025 hapatakuwa na uchaguzi isipokuwa maigizoSi ndiyo mliowataka hao.Unalalamika nini pumbavu.Mlitageti Hai,Mbeya,Tarime,Arusha,Kibamba na Ubungo na mlifanikiwa sana.Mnakula matunda ya upambavu wenu.Oh pia Kigoma kwa Zitto Kabwe.
Wajinga wakiwa pamoja, hutengeneza combination ya kali sana kutokana tu na uwezo wao mkubwa wa kujiamini.Hata siku moja usije wadharau wajinga wengi wakiwa pamoja