Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 5,383
- 18,776
Diwani wa kata ya Kitandililo Halmashauri ya mji Makambako Imani Fute, ameomba viongozi wazee na waliokaa kwenye nafasi za uongozi kwa muda mrefu wawapishe vijana ili nao waoneshe uwezo wao katika kuwaongoza wananchi.
Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
Akizungumza na Elolama FM Jumamosi Aprili 12,2025, Fute amesema kuwa kizazi cha sasa kina uwezo mkubwa wa kuchangia maendeleo ya jamii, hivyo ni muhimu kikapewa nafasi kwa vitendo badala ya maneno tu. Amesisitiza kuwa bila kuwajengea mazingira ya kushiriki katika uongozi, vijana wataendelea kubaki watazamaji katika mambo yanayowahusu moja kwa moja.