johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 104,319
- 183,639
Kama unakoga uani kwa haraka![emoji28]Ala salalee!
Asiyesikia la muu!
Hakika, ngoja tuone!Wanajidanganya, wanategemea yale ya uchaguzi wa serikali za mitaa yatatokea na hivyo wanatoka kutafuta pa kujihifadhi. Ngoja tuone
Na kweli kabisa, moto ka nauona!
Hahahaaaa.......!Afu ukute gari iko kwenye mteremko[emoji23] daah
It is never too late to begin. Start now
Hatari aana. Hakufai CHADEMA.
Hizo fedha ni bora mngenunulia ppe za korona kuliko kuhonga poor diwanis
Wewe unaIQ ya chipanzeeBado unawaza mambo ya kuhonga madiwani pesa, kama una elimu ya chuo kikuu basi uli pass kwa kutoa rushwa ya ngono maana hayo sio mawazo ya mtu mwenye akili timamu.