Chagu wa Malunde
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 8,746
- 5,772
Hakuna anaehongwa Chadema haifai, utendaji kazi wa Magufuli umemfanya aunge juhudi.Hizo fedha ni bora mngenunulia ppe za korona kuliko kuhonga poor diwanis
Hakuna anaehongwa Chadema haifai, utendaji kazi wa Magufuli umemfanya aunge juhudi.Hizo fedha ni bora mngenunulia ppe za korona kuliko kuhonga poor diwanis
Hahaha....eti watumishi wa wananchi, hao mabeberu mnaowatumikia ndo wananchi? October sio mbali, hamuwezi kuwa wasaliti wa Taifa na bado muwe wawakilishi wa wananchi, kama ni majimbo ya tweeter na jf hayo chukueni tu.Watu wote wenye mawenge huwa wanaona vitu ambavyo watu wenye akili timamu hawavioni!!
Mnaweza kukaa na mwenzenu ghafla akakurupuka na kusema "wanakuja hao" nyie mlio timamu mkiangalia hao "wanaokuja" hamuwaoni. Mnafikia hitimisho kwamba mwenzenu ana mawenge.
Kadri CCM kinavyozidi kuwa chama katili na laghai, ndivyo wale wenye wito wa kuwa watumishi wa wananchi ndio pekee watabakia CHADEMA.
Yaani wanaotoka CHADEMA kwenda CCM maneno yao utadhani CHADEMA ndiyo inaongoza nchi!!
Wanachekesha sana hawa jamaa, sasa kama mmefuga viongozi wa kununuliwa kirahisi hivyo vipi mkipewa nchi si mtaiuza nyie?Hakuna anaehongwa Chadema haifai, utendaji kazi wa Magufuli umewamfanya aunge juhudi.
CCM ikiruhusu tume huru ikiwasimamisha waunga Juhudi itakuwa imeruka mikojo na kukanyaga mavi.Watabaki masela tu,magwiji wanaondoka
Diwani amefika kituo chake abiria bado wanaendelea na Safari.Hii sasa kali
Diwani wa Chadema wilayani Bunda aliyeamua kuachana na chama hicho amesema Chadema ni kama basi linalowaka moto na abiria wameamua kujisalimisha kwa kutokea madirishani.
Source Star tv
Maendeleo hayana vyama!
Of course kwa UBABE/UDIKITEITA anaouonyesha na hasa katika uchaguzi wa serikali za mitaa, Jiwe kama mtu huna msimamo wa unachokisimamia, utayumba kama akina Mwita, na wote walionunuliwaHakika, ngoja tuone!
Hebu fanya kutoa ushahidi wa CHADEMA kutumiwa na hao "mabeberu"Hahaha....eti watumishi wa wananchi, hao mabeberu mnaowatumikia ndo wananchi?