Kuna habari ambayo bado ni tetesi kuwa Diwani wa kata ya Kilole Korogwe Mji ambaye ni motto wa Mbunge wa Korogwe Vijijini Mh. Steven Ngonyani aka Maji Marefu ameacha Udiwani baada ya kuona hauna faida kama alizozifikiria.
Diwani huyo Mh. Thamas au Toma alikuwa ni Diwani aliyechaguliwa kwa kura "lukuki" za wanachama na wapenzi wa CCM katika Kata hiyo. Inasemekana hajahudhuria vikao vingi bila taarifa yeyote na yupo bize na biashara za Mzee Maji Marefu katika jiji la Nairobi. Naendelea kufuatilia hizo habari kuona kama zinaukweli.
Kama kuna mwenye habari zaidi ya hizi tafadhali ujulishe Jukwaa maana hizi ni tetesi tu bado.