Diwani mstaafu apigwa risasi na Askari aliyelewa kwa kutokuvaa Barakoa

Diwani mstaafu apigwa risasi na Askari aliyelewa kwa kutokuvaa Barakoa

Kuna Wakenya wawili watatu wanaoishi huko kwenu. Pengine hao ndio waliopost. Ila Mkenya anayeishi Kenya hana shughuli na news zenu.
Hahahaha, TV zenu hadi zimeweka "reporters" wao Tanzania [emoji1][emoji1][emoji1]
 
hamna mkenya mwenye akili timamu atakaa chini na aanze kutazama tv za tanzania.....kwanza tv stations zenu hata hatuzijui
TV stations zao ni mbovu sana. Kuna siku niliamua kutazama news yao ya station inayoitwa TBC. Nakuambia sikutazama zaidi ya dakika tano. Studio ni mbovu, mtangazaji ana sura ya kiatu. Mavazi kama ya mahabusu. Yaani ni kioja tu. Watangazaji kwenye ground wameparara kama magoti ya ngamia.
 
Mbona nchi zingine hazitaki kuwajuwa nyinyi? Mna tatizo gani?

Kwani tumekwambia tunataka Kujulikana?
There is no problem in learning things outside your boarders , unless you are having your personal problems .
 
TV stations zao ni mbovu sana. Kuna siku niliamua kutazama news yao ya station inayoitwa TBC. Nakuambia sikutazama zaidi ya dakika tano. Studio ni mbovu, mtangazaji ana sura ya kiatu. Mavazi kama ya mahabusu. Yaani ni kioja tu. Watangazaji kwenye ground wameparara kama magoti ya ngamia.

Sasa umejuaje kama ni mbovu ikiwa huzitazami? [emoji3][emoji3][emoji3]
Wakenya mna mambo
 
Hahahaha, TV zenu hadi zimeweka "reporters" wao Tanzania [emoji1][emoji1][emoji1]
Media zetu ni kubwa sana hapa Africa mashariki. Tuna branches Uganda, Tanzania na hata najua hivi karibuni tutaingia Ethiopia. Ni kama tu bank zetu ambazo zimevuruga maeneo yote kuanzia South Sudan hadi Congo. Sisi hatupo ligi yenu. Endeleeni kushindana na Burundi.
 
Media zenu zote mkijumlisha kwa pamoja haziwezi fikia "Azam media house", hizo zenu ni utopolo tu[emoji23][emoji23]
 
Kwa ninavyojua in That Banana République of Kunyaland this is not News, just part of Regular Kenya Police practice.
Among police killings niliumia sana juu ya wale vijana wawili wa Embu.
May the Lord rest them Embu brothers in eternal peace.
Zaidi ya yule dereva wa lorry
 
Back
Top Bottom