Taarifa njema.Aliyekuwa Diwani mteule wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Kata ya Shiwinga, Wilaya ya Mbozi mkoani Songwe, Lusekelo Mwalukomo amefariki dunia baada ya kunywa maji ya betri. Tukio hilo lilitokea jana Novemba 26, 2025 na amefariki dunia wakati akiendelea kupatiwa matibabu katika Hospitali ya Mbozi Mission.
Akithibitisha kifo hicho, Mkuu wa Wilaya ya Mbozi, Hamad Mbega amesema leo Alhamisi Novemba 27, 2025 kuwa sababu za diwani huyo kunywa maji hayo bado hazijajulikana, ingawa taarifa za awali zinahusishwa na msongo wa mawazo.
โWataalamu wetu wanaendelea na uchunguzi ili kubaini chanzo halisi. Alikutwa amekunywa maji ya betri saa nne asubuhi. Madaktari walijitahidi kuokoa uhai wake lakini walishindwa,โ amesema Mbega.
Mbega amesema anajiandaa kwenda nyumbani kwa familia ya marehemu kwa ajili ya mazungumzo na kupanga taratibu za mazishi kwa kushirikiana na CCM. Kwa sasa, mazishi yanatarajiwa kufanyika Novemba 28, 2025 nyumbani kwake Shiwinga, baada ya kikao cha familia na chama.
Hata hivyo, Kamanda wa Polisi Mkoa wa Songwe, Augostino Senga amesema hadi sasa hakuna taarifa yoyote ya tukio hilo iliyofikishwa polisi.
โSijaipokea taarifa hiyo. Kwa taratibu, tukio kama hilo lazima liripotiwe polisi ili fomu ya matibabu itolewe. Tunaendelea kufuatilia, tukipata taarifa kamili tutatoa maelezo,โ amesema Senga.
WowAliyekuwa Diwani mteule wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Kata ya Shiwinga, Wilaya ya Mbozi mkoani Songwe, Lusekelo Mwalukomo amefariki dunia baada ya kunywa maji ya betri. Tukio hilo lilitokea jana Novemba 26, 2025 na amefariki dunia wakati akiendelea kupatiwa matibabu katika Hospitali ya Mbozi Mission.
Akithibitisha kifo hicho, Mkuu wa Wilaya ya Mbozi, Hamad Mbega amesema leo Alhamisi Novemba 27, 2025 kuwa sababu za diwani huyo kunywa maji hayo bado hazijajulikana, ingawa taarifa za awali zinahusishwa na msongo wa mawazo.
โWataalamu wetu wanaendelea na uchunguzi ili kubaini chanzo halisi. Alikutwa amekunywa maji ya betri saa nne asubuhi. Madaktari walijitahidi kuokoa uhai wake lakini walishindwa,โ amesema Mbega.
Mbega amesema anajiandaa kwenda nyumbani kwa familia ya marehemu kwa ajili ya mazungumzo na kupanga taratibu za mazishi kwa kushirikiana na CCM. Kwa sasa, mazishi yanatarajiwa kufanyika Novemba 28, 2025 nyumbani kwake Shiwinga, baada ya kikao cha familia na chama.
Hata hivyo, Kamanda wa Polisi Mkoa wa Songwe, Augostino Senga amesema hadi sasa hakuna taarifa yoyote ya tukio hilo iliyofikishwa polisi.
โSijaipokea taarifa hiyo. Kwa taratibu, tukio kama hilo lazima liripotiwe polisi ili fomu ya matibabu itolewe. Tunaendelea kufuatilia, tukipata taarifa kamili tutatoa maelezo,โ amesema Senga.
Mkuu Mzee wa chai siku hizi unaupiga mwingi sana.Taarifa njema.
๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃMkuu Mzee wa chai siku hizi unaupiga mwingi sana.
Matukio haya yameacha watu wengi tu wakiwa na trauma. Watanzania ambao walikuwa hata hawajui SMG, AK47 na assault rifles zinatoa mlio gani. Watanzania ambao walikuwa hawajaona maiti zilizofumuliwa ubongo na risasi. Watanzania ambao walikuwa wakiona mrundikano wa maiti kama mikungu ya ndizi kwenye vita vya mbali huko Darful, Syria na Congo. Watanzania ambao wameuliwa ndugu zao wakiwa majumbani bila sababu. Watoto wadogo wameona maiti zikiwa zimetapakaa damu huku zimekodoa macho kama kuuaga mwanga...oooh! Kuna trauma kubwa sana. Na hatuna mambo ya trauma counselling wala nini. Ni kila mtu na lwake.Baba mtu mzima kama huyo mpaka anafikia maamuzi ya kukatisha uhai wake anaacha maswali mengi sana.
Sijui kwanini nimeunganisha tukio hili na yaliyotokea Oct 29, labda baba wa watu aliona yasiyosemekana yamemuelemea kashindwa kuhimiliโฆ
Anyways, pole kwa familia ya marehemu.
Siku akikata moto sipati picha ๐๐๐"Kifo ni kifo tu" alisema samuya, bado yeye
Wenzie wanakunywa maji toka Marekani....Aliyekuwa Diwani mteule wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Kata ya Shiwinga, Wilaya ya Mbozi mkoani Songwe, Lusekelo Mwalukomo amefariki dunia baada ya kunywa maji ya betri. Tukio hilo lilitokea jana Novemba 26, 2025 na amefariki dunia wakati akiendelea kupatiwa matibabu katika Hospitali ya Mbozi Mission.
Akithibitisha kifo hicho, Mkuu wa Wilaya ya Mbozi, Hamad Mbega amesema leo Alhamisi Novemba 27, 2025 kuwa sababu za diwani huyo kunywa maji hayo bado hazijajulikana, ingawa taarifa za awali zinahusishwa na msongo wa mawazo.
โWataalamu wetu wanaendelea na uchunguzi ili kubaini chanzo halisi. Alikutwa amekunywa maji ya betri saa nne asubuhi. Madaktari walijitahidi kuokoa uhai wake lakini walishindwa,โ amesema Mbega.
Mbega amesema anajiandaa kwenda nyumbani kwa familia ya marehemu kwa ajili ya mazungumzo na kupanga taratibu za mazishi kwa kushirikiana na CCM. Kwa sasa, mazishi yanatarajiwa kufanyika Novemba 28, 2025 nyumbani kwake Shiwinga, baada ya kikao cha familia na chama.
Hata hivyo, Kamanda wa Polisi Mkoa wa Songwe, Augostino Senga amesema hadi sasa hakuna taarifa yoyote ya tukio hilo iliyofikishwa polisi.
โSijaipokea taarifa hiyo. Kwa taratibu, tukio kama hilo lazima liripotiwe polisi ili fomu ya matibabu itolewe. Tunaendelea kufuatilia, tukipata taarifa kamili tutatoa maelezo,โ amesema Senga.
Hivi kuna yule chawa pro max, user name yake imenitoka alikuwa anapenda sana kuandika "relax gentleman" mwisho wa comment anaweka emoj ya kigendere. Kitambo sana simuoni jukwaaniMTU wa CCM akifa Sisi kwetu ni furaha
Oyaa ๐๐ itakua ni sherehe hatari,sema ma mtu yenye roho ngumu ivi sasa hata hayafagi mapema
Amefariki.Hivi kuna yule chawa pro max, user name yake imenitoka alikuwa anapenda sana kuandika "relax gentleman" mwisho wa comment anaweka emoj ya kigendere. Kitambo sana simuoni jukwaani