TANZIA Diwani Wa CCM Kata Ya Mzimuni Manispaa Ya Kinondoni Afariki Dunia

Ninavojua udiwani angalau hupendelewa vijana wanochipukia kwenye siasa sasa huyu mzee si alikua atulie tu alee wajukuu
 
Majizi ya kura yanazidi kupukutika tu hadi raha, hata kwa hiki kidogo tunashukuru maana usiposhukuru kwa kidogo hata kikubwa hutashukuru, Mungu wetu ni mwamifu tunaamini kilio chetu kwa huyu mwovu kubwa la maadui anakisikia na atatenda jambo ili wana wa Tanganyika wafurahi kuondokewa na huyu mtesi wetu.
 
insha'Allah
 
Ninavojua udiwani angalau hupendelewa vijana wanochipukia kwenye siasa sasa huyu mzee si alikua atulie tu alee wajukuu
Humo ccm kuna anayeshiba basi?

Wote vijana kwa wazee wamejaa tamaa ya madaraka.
 
R.I.P mh. diwani wa kata ya mzimuni, ndugu Manufred C. Lyoto
 
RIP comrade,

Nadharia lazima iwepo coz mwenyekiti hajasema kilichomsibu;-

1.Ile COVID -19 iliyotangazwa ndio imeanza rasmi!!

2.Alipelekwa mloganzila pale "nasikia ukipelekwa pale kuchomoka kazi sana" tetesi TU Sina uhakika!

3. Niendelee kuamini sio wale wazalendo wanaotisha Sana wale wanaofanana na Tanzania football federation TFF.

Unaweza kuongezeapo kanadharia hapo..
 
Toka MO29, mwezi haupiti bila kumpoteza mmoja wa wanufaika wa ule uchafuzi
 
Sa si mzee kabsa huyo. Kwanza n mCCM alafu pili alikua anatumia tu Oxygen kwa ajili ya vjana vbaya.
 
Ccm kwa unafiki hawashikiki. Mbio mbio kutoa pole kwa "Diwani" lakini hata wanachama wao waliouwawa Oct 29 wameuchuna!

Apumzike alipopachagua akiwa na uhai.
 
tuliza mihemko nonsense gentleman,

ikiwa huna pweint kaa kimya tu na itapendeza zaidi kuliko kumbwelambwela na nonsense jukwaani
Points nitoe kwako?? Jinsi ulivyo lisenge na nikae ety natoa Points kwa debe tupu. Alafu kukuita senge sijakutukana bali nimekuita uhalisia wako. Fala wewe.
 
Points nitoe kwako?? Jinsi ulivyo lisenge na nikae ety natoa Points kwa debe tupu. Alafu kukuita senge sijakutukana bali nimekuita uhalisia wako. Fala wewe.
Gentleman,
tuliza mihemko bas,
lakini pia hakuna haja ya kuwavunjia heshima wadau muhimu wa JF kwa nonsense, plz,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…