Aisee nafungua redio nasikia Haji Manara ambaye ni diwani wa Kariakoo kupitia CCM eti msemaji wa timu za taifa
Sina shida na Manara lakini serikal iwe makini hii nchi kwa sasa si ya kuiendesha namna hii kuna migawanyiko mingi ya kisiasa na bado mengi hayajatatuliwa hadi tume zimeundwa
Kwa sisi...
MAMLAKA ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya imefanikiwa kukamata dawa za kuelevya aina ya mirungi kilo 106.25 katika wilaya ya Longido mkoani Arusha zikiwa zinasafirishwa kwa gari aina ya Toyota Wish yenye namba ya usajili T 889 DPG.
Akizungumza Aprili 14,202 jijini Dar es Salaam...
Diwani wa CCM Kata ya Mzimuni katika Halmashauri ya Manispaa ya Kinondoni, Mheshimiwa Manufred C. Lyoto amefariki dunia leo Machi 7, 2026
Taarifa za kifo chake zimetolewa na Mwenyekiti wa CCM Kata ya Mzimini, Abdalah M. Ally, ambaye pia ametoa pole kwa wanachama wa CCM pamoja na wananchi wote...
Aliyekuwa Diwani wa Kata ya Itilo na Mwenyekiti wa Halmashauri ya Nzega Mji, Wilayani Nzega kupitia Chama cha Mapinduzi CCM, Paschal Kigaru amefariki Dunia kufuatia ajali ya barabarani ambayo imehusisha gari alilokua amepanda kugongana na gari jingine usiku wa kuamkia Februari 17, 2026...
Aliyekuwa diwani wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) kata ya Themi,Petro Lobora, ametangaza kujiunga rasmi na Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA) leo Agosti 16.
Diwani wa Kata ya Swaya katika Halmashauri ya Wilaya ya Rungwe, Shaban Saleh Nduta, ametangaza rasmi kujiunga na Chama Cha Mapinduzi (CCM) tarehe 11 Juni 2025, akitoka Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA).
Akizungumza mbele ya umati wa wananchi na viongozi wa chama, Nduta amesema uamuzi...
Ndugu zangu Watanzania,
Tanzania ni Kubwa sana kama hutafutwi na Jeshi la Polisi na wewe ni mtu Mwema. Lakini kama ukiingia kwenye 18 za jeshi la polisi kwa vitendo vya uhalifu na uvunjifu wa sheria pamoja na kufanya jinai . Huwezi ukaukimbia Mkono wa Serikali.
Hakuna mahali utakimbilia na...
Aliyekuwa Diwani wa Kata ya Kiziguzigu Wilaya ya Kakonko mkoani Kigoma Mwl. Martin Runaku Mpemba, amefariki usiku wa Aprili 3 katika Kijiji cha Kibingo Kata ya Kiziguzigu, baada ya kushambuliwa na watu wasiojulikana.
Katibu wa Chama Cha Mapinduzi CCM Mkoa wa Kigoma, Christopher Palangyo...
Wakuu,
Diwani wa Kata ya Mshangano, Manispaa ya Songea mkoani Ruvuma, Samwel Mbano ametangaza kujiuzulu nafasi hiyo kwa maslahi mapana ya serikali inayoongozwa na Chama Cha Mapinduzi (CCM).
Mbano amesema hayo akizungumza na waandishi wa habari na kutoa taarifa ya maendeleo kwenye kata yake...
Hongera Waziri Bashe.Hakuna kuchekeana Wala kuoneana huruma kwa mafisadi wote bila kujalisha hadhi Yao.
My Take: Wakulima ungeni mkono juhudi za Waziri Bashe kupambana kuinua Kilimo.
Kazi iendelee,ajenda 10/30.
---------------
Waziri wa Kilimo, Hussein Bashe ametoa agizo la kushikiliwa kwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.