Diwani wa CCM, Haji Manara kuwa msemaji wa timu zote za taifa; Je, kama taifa tumekubaliana na hili?

Diwani wa CCM, Haji Manara kuwa msemaji wa timu zote za taifa; Je, kama taifa tumekubaliana na hili?

PERAMIHO YETU

JF-Expert Member
Joined
May 25, 2018
Posts
6,288
Reaction score
17,333
Aisee nafungua redio nasikia Haji Manara ambaye ni diwani wa Kariakoo kupitia CCM eti msemaji wa timu za taifa

Sina shida na Manara lakini serikal iwe makini hii nchi kwa sasa si ya kuiendesha namna hii kuna migawanyiko mingi ya kisiasa na bado mengi hayajatatuliwa hadi tume zimeundwa

Kwa sisi wakazi wa Kariakoo Haji kwetu ni mwanasiasa na si msemaji na tulio wengi hapa ni CHADEMA

KWETU SISI HAJI N MSEMAJI WA CCM NDAN YA TIMU ZA TAIFA

WATANZANIA TUWE MAKINI NA CCM IMEANZA GHIRIBA KWENYE MICHEZO

ASANTE JEMEDARI SAIDI KWAKUTUFUNGUA MACHO

Soma > Makonda amteua Manara kuwa Msemaji wa Timu za Taifa
 
makonda mshamba sana, kazi ya usemaji wa timu za taifa ipo chini ya TFF, yeye anamteua msemaji mwingine anayefanya kazi chini ya BMT, huu ni mgogoro wa badae kati ya TFF na Wizara kwenye mgongano wa majukumu. Kama alitaka manara afanye kazi TFF, angewa consult tu TFF maana timu za taifa ni mali ya TFF kimuktadha wa football structure.
 
Kiujumla Bashite bado hajatoka mshamba kabisa!!!
Hiyo kitu ilibidi itangazwe na TFF
tujue kapewa kitengo gaani!!

Sasa Ndimbo hapo anakazi gaani!!? Stupid 🚮 🚮 🚮

Ndo basi tena mfumo ulishaamua kua wajinga ndio wanatakiwa kutawala.
 
Aisee nafungua redio nasikia Haji Manara ambaye ni diwani wa Kariakoo kupitia CCM eti msemaji wa timu za taifa

Sina shida na Manara lakini serikal iwe makini hii nchi kwa sasa si ya kuiendesha namna hii kuna migawanyiko mingi ya kisiasa na bado mengi hayajatatuliwa hadi tume zimeundwa

Kwa sisi wakazi wa Kariakoo Haji kwetu ni mwanasiasa na si msemaji na tulio wengi hapa ni CHADEMA

KWETU SISI HAJI N MSEMAJI WA CCM NDAN YA TIMU ZA TAIFA

WATANZANIA TUWE MAKINI NA CCM IMEANZA GHIRIBA KWENYE MICHEZO

ASANTE JEMEDARI SAIDI KWAKUTUFUNGUA MACHO

Soma > Makonda amteua Manara kuwa Msemaji wa Timu za Taifa
kama mTanzania mwingine yoyote yule,
nadhani Haji Manara anafaa kabisa kwenye nafasi hiyo, ikiwa tu ana kidhi na kutimiza vigezo vyote tajika vya kubeba jukumu hilo zito na muhimu sana kwa maendeleo ya soka nchini mwetu.

chuki binafsi na mihemko nonsense za mtu au watu fulani wachache, haviwezi kutukosesha mtu makini na madhubuti wa kushikilia jukumu fulani muhimu la kitaifa.

Tuache uvivu wa kijinga 🐒
 
Back
Top Bottom