GE2025 Aliyekuwa diwani wa CCM kata ya Themi, lobora ahamia CHAUMMA Agosti 16

GE2025 Aliyekuwa diwani wa CCM kata ya Themi, lobora ahamia CHAUMMA Agosti 16

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

Mkalukungone Mwamba

JF-Expert Member
Joined
Aug 29, 2022
Posts
3,141
Reaction score
7,205
Aliyekuwa diwani wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) kata ya Themi,Petro Lobora, ametangaza kujiunga rasmi na Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA) leo Agosti 16.

 
Chama cha kuhamia hicho
Na wanahamia waliowahi kuwa VIONGOZI TU BASI
 
Back
Top Bottom