TANZIA Diwani Wa CCM Kata Ya Mzimuni Manispaa Ya Kinondoni Afariki Dunia

Gentleman,
tuliza mihemko bas,
lakini pia hakuna haja ya kuwavunjia heshima wadau muhimu wa JF kwa nonsense, plz,
Nakuvunjiaje heshima wakat sikuheshimu.? Hivi we senge una matope kichwani. Sina mihemko bali nakuambia uhalisia. Mwisho, usijipe umuhim humu ndan we n chaw tu
 
Bwana alitoa na Bwana ametwaa, pumzika kwa amani ndugu Diwani wa Kata ya Mzimuni
 
Nakuvunjiaje heshima wakat sikuheshimu.? Hivi we senge una matope kichwani. Sina mihemko bali nakuambia uhalisia. Mwisho, usijipe umuhim humu ndan we n chaw tu
TULIZA KIPAGO,
HUNA PWEINT GENTLEMAN
 
Mbona kama ni kipupwe fulani hivi
 
Watu hufa
Binafsi hakuna mtu namwombea kifo.
Unaweza kuwa sahihi lakini kuna watu ambao wakiishi wanasababisha vifo vya watu wengi kuliko huyo mmoja kufariki. Samia angekuwa amefariki kabla ya 2020, pengine hao vijana wote waliopotezwa kabla ya uchaguzi na waliouawa siku ya uchaguzi wangekuwa hai sasa hivi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…