Tetesi: Diwani wa Ifakara aliyeshirikiana na Mbowe kwenye Kilimo aliuawa kwa kukatwa Mapanga

Mimi kinachonisikitisha Kwa sasa, ni kuona Watanzania wengi wakiongezeka Kwa Kasi kuwa na chuki na Mzee Mbowe,
Wewe anayechukiwa na watanzania unajifanya humjui!?? Yaani watanzania wamchukie Mbowe kwa lipi hasa linalohusiana na maisha yao??
 
Hili tukio kuna watanzania wako remand prison mpaka leo mbona Mbowe hajakamatwa ?

Acheni propaganda za kipumbavu nyie UVCCM.

Propaganda za namna hii hazina tija kwa wananchi na wala haziwezi kupunguza bei ya sukari kwa wananchi ambayo imepanda kwa sababu ya sera mbovu za ccm.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Una taarifa nyingi hivi halafu unazikalia hutaki kupeleka kunakohusika? Wewe ni sawa na wale akina mama wabunge waliosema miaka mitano wamevumilia kuingiliwa kingono weeeeeee mpaka juzi wote kwa pamoja wakaanza kusikia maumivu ya kuingiliwa kingono.Mbona mnajitoa ufahamu hivi?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mwambieni lisu amlete hapa dereva wake hapa uchunguzi uanze
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu heshima huanza kuporomoka kwa kushindwa kuwa objective katika mambo mengi ya msingi.

Sasa mtu hujifikirishi hata kufikiria kwa kina juu ya hoja na ukweli ama usahihi wake , sasa unamheshimuje mtu kama huyo. ?

Mtu unakuwa na chuki na mtu hata hujawahi Kutana naye hakufahamu na wala hamjawahi hata ongea nae.

Watu wengi kama hawa huwa wanamatatizo ya kisaikolojia saana.
Ha! Ha! Ha! Ha! Kuna watu hata kama wanakupinga huwa unawaheshimu, sasa kwa Victoire kuandika "You nailed it" nashangaa maana siamini kama hata huo ugoro kausoma!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu, Kwa Andiko liliopo hapo juu unaona huo ni upendo Kwa Mbowe?
Andiko lililojaa hisia bila ya hata chembe ya ushahidi kuthibitisha kama kweli ni uhalisia unalitumiaje kama rejea? Yaani kila hadithi ya kutungwa il mradi anayeshutumiwa ni Mbowe inakuwa ni kweli??
 
Unawashangaa UWT na GoT kwa kumuacha Mbowe!!?
Haya wamekusikia,wanakuja kwako kutaka ushahidi na vielelezo,usije kulalamika na kulialia tu kijana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…