Tetesi: Diwani wa Ifakara aliyeshirikiana na Mbowe kwenye Kilimo aliuawa kwa kukatwa Mapanga

Ushafeli Dadangu Hadi hapo.... This is very cheap [emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huu ni mwaka wa uchaguzi na wameshajua udhaifu wa jiwe, kwa Kila mtu anamponda mbowe ili jiwe awakumbuke kwenye nafas ya kugombea ubunge
Ni kweli, Hizi ni miongoni mwa mbio za kupata teuzi, mtoa mada jaribu mbinu nyingine.
 
Sasa unasema polisi waliwakama baadhi ya watuhumiwa na hujui kesi iliishia wapi. Umefanya juhudi gani kufahamu hitimisho la hiyo kesi?

Hapo Mbowe anahusikaje?

Sent using iphone pro max
 
Mwisho wa Mbowe utakuwa Mbaya sana damu za watu zitamlilia daima

Sent using Jamii Forums mobile app
Mbowe amekuwa akiisumbua CCM kama hizi tuhuma zingekuwa za ukweli pasi na shaka,hahah ingekuwa njia rahisi ya kummaliza aozee gerezani.Kama Mbowe anahusika na kifo cha Ben Saanane kwa nini serikali haijafanya effort kufuatilia suala hili kwa kina ili waweze kuibana Chadema ambayo imedumu kama nemesis wa "chama na serikali"?
Huyu jamaa kaandika hadithi nzuri tu isiyo na ukweli.
 


Hakuna upumbavu mkubwa zaidi ya huu.
Naamini sooner than later utakuja kuomba radhi kwamba ulitumika kama pedi.
Yule anayejiita mchunga kondoo kaonesha njia kwa kuanza kuomba radhi
 
Huko mliko sasa mbowe kapita siku nyingi sana.Ila sasa naamini mbowe ananguvu why anashambuliwa hivi
 
Inashangaza sana kuona habari zote za mauaji, utekaji na kupigwa watu risasi mnazo halafu mnaleta kwenye mitandao.
Hoja ya maana ambayo ungeleta hapa ni kutuambia kwamba vyombo vya usalama na mahakama vinambeba Mbowe kwani amehusika kwenye kashfa nyingi za jinai lakini hachukuliwi hatua yoyote.
 
Ilete wewe hoja hiyo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Dini yao hawa n pale wanapotaka kura tu bt ukitaka kujua ushetani wao pale wanapoyapata madaraka
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…