Tetesi: Diwani wa Ifakara aliyeshirikiana na Mbowe kwenye Kilimo aliuawa kwa kukatwa Mapanga

Tatizo la mijitu ya Tanzania they draw the evidence on air and never prove it. Hii siyo literature mtu unawaza na kuandika kwa kumchora vizuri mhusika na kumleta karibu na wasomaji halafu mwisho bado unawaachia wateja wako maswali

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Inashangaza saana nyie wanaccm mlivyo na chuki na Mh.Mbowe, Mmekataa kufanyika uchunguzi wa kimataifa ili tujue ni nani alimshamblia Mh.Lisu, wapi alipo Ben Saanane ? Leo mnakuja na ushetani mpya. Mlaaniwe nyie na vizazi vyenu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Doh huyu Mbowe atawatoa roho ccm. Kila wakati Mbowe! Mbowe! Hamchoki? Mwamba shikilia hapo hapo, jamaa wamechanganyikiwa!
 
Huu ni mwaka wa uchaguzi na wameshajua udhaifu wa jiwe, kwa Kila mtu anamponda mbowe ili jiwe awakumbuke kwenye nafas ya kugombea ubunge
siasa za hivi zisizojali haki au hisia za maumivu ya wengine ni siasa mbaya Sana watu wa namna hii wako radhi kuuwa ili wafanikiwe kisiasa unapomsingizia mbowe hayo ili badaae upate faida ya KISIASA huoni unapanda ngazi huku unaumiza wengine? Inauma Sana toho ya namna hii halafu kesho mnaenda kanisani kuomba muombewe.
 
Kama ambavyo wamesema Lijualikali na Waitara kuhusu Mbowe kuiba fedha na kwenda kufanya kilimo huko Ifakara. Mbowe alifanya kazi hiyo kwa Mgongo wa Diwani mmoja huko Ifakara jina silikumbuki vizuri.

Ila Diwani huyo alishambuliwa kwa mapanga na watu wasiojulikana. Taarifa nilizozipata wakati huo kutoka kwa viongozi wa juu ndani ya CHADEMA ni kuwa huenda Diwani huyo aliuawa kwasababu za kimaslahi kuhusu mambo ya mashamba na kilimo aliyofanya na Mbowe. Sikuandika kwasababu sikuwa na taarifa za ndani kuhusu mradi huo maana Wabunge hawa walificha hizi taarifa.

Ila niliwahi kuandika kuhusu hisia zangu za Mbowe kuhusika na upotevu wa Ben Saanane na Shambulio la Tundu Lissu. Magazeti yaliandika habari hii.

Sasa zipo hisia kubwa kutoka kwa viongozi ndani ya Chama kuwa Mbowe alihusika na shambulio la Diwani yule kwa sababu za kimaslahi.

Vyombo husika vifuatilie mwangwi huu!

Kwa tunaomjua Mbowe tunajua anaweza kufanya lolote almradi kulinda maslahi yake. Zitto kama hatakuwa mnafiki atakiri hadharani kuwa alishawahi kukatiwa breki za gari lake wakati fulani. Pia alitaka kuwekewa sumu na Ben Saanane.

Ben Saanane tukiwa nae Mabibo External kwenye Bar moja kubwa pale opposite na kanisa la KKKT baada ya kuondolewa Makao Makuu ya CHADEMA aliniambia kwa mdomo wake kuwa amemwambia Mbowe kuwa kama atabariki yeye kuondolewa Ben Saanane kuondolewa pale Makao makuu basi atajua atakavyojitetea maana wamefanya mengi yeye na Mbowe hivyo Mbowe anapaswa kumlinda. Jibu la Mbowe kwa Ben Saanane lilikuwa " UNANITISHA? Tuonane wiki ijayo" Alipoenda wiki ijayo akapewa cheo ambacho hakipo kwenye Katiba wala muundo wa Chama cha MSAIDIZI WA MWENYEKITI MAKAO MAKUU. alifanya kazi miezi miwili tu.

Nakumbuka alitumwa Hai na baadae Afrika Kusini. Aliporudi Afrika Kusini akiwa airport aliwasiliana na watu wawili kuwa amerudi baada ya hapo hajaonekana tena mpaka leo. Kwa tuliokuwa Makao Makuu mahusiano ya Mbowe na Saanane hayakuwa mazuri tena tangu Zitto aondoke CHADEMA maana siri nyingi zilivuja na hivyo Mbowe akawa anamkataa Saanane ili asichafuke. Mbowe anatumia mtu halafu anamkataa.

Alimtumia Zitto dhidi ya Chacha Wangwe akamkataa, Akamtumia Slaa na akina Saanane akawakataa, akawatumia Komu na Lwakatare dhidi ya Slaa leo amewakataa. Nasubiri anguko la Lissu baada ya Shambulio kufeli.

Muda unanisaidia sana. Ndio maana nasemaga JINI LINAWALA WAFUGA JINI.

Sent using Jamii Forums mobile app
Mramba nakukubali sana. Maelezo yako yanabeba uhalisia wa maovu ya Mbowe na CHADEMA. Kungekuwa na namna ya kukusanya threads zako zote ningefanya.
Siku za nyuma niliwahi kukushauri uwe makini sababu Mbowe na genge ni rahisi kukuondoa. Lakini angalau Leo wameongezeka kina Lijualikali, Mwita na wengineyo hivyo kupunguza chances za 'hatari' kukudondokea.
 
Kila mtu anafahamu kuwa Ben Saanane alipotea muda mfupi tu baada ya kuhoji uhalali wa Phd ya maganda ya korosho
Ujinga wao ni kwamba kila wanapoambiwa ije FBI kuchunguza ishu ya Ben sanane hawataki ya lisu hawataki Sasa inamaana serikali inamkingia kifua mbowe? Inamaana serikali ya CCM inàmapenzi makubwa na mbowe mbona inamlinda Kama ni kweli ruhusuni FBI watue hapa ili mbowe aumbuke.
 
Mnaonaje mumshtaki mbowe au iteni FBI ili mbowe achunguzwe kwanini hamtaki au nyie ndio mnamkingia kifua?
 
Hizi ni propaganda za kipumbavu na za kipuuzi Tz ina chagamoto nyingi zaidi ya Mbowe nguvu mnazo elekeza kwa kimshusha mbowe mgeziweka kwenye masuala yanayo saidia taifa sio chama, corona ipo maleria ipo elimu bado mbovu sector ya afya ina shida kubwa mnatuletea propaganda za mbowe kila wakati watu ni wale wale....tumechoka tunahitaji national issues plz
Sasa wewe andika hoja against hizo matusi ya nini?
 
Huu uongo ni kwa faida ya nani?? Kwanini kama una ushahidi wa kupotea kwa fedha za Chadema pamoja na Ben Saanane usifungue shari Mahakamani badala ya kufungua uzi humu?? Nendeni Mahakamani kisha mrudi humu kutuletea mrejesho ni si huu upuuzi wa kuchafua watu bila sababu.

CCM mmeishiwa hoja sasa kilichobaki ni kujaribu kuwachafua watu wasio miliki vyombo vya usalama. Hizi nguvu mnazozitumia humu kwanini msengejielekeza kwa wananchi ili kujinadi kwao??

Slowslow ndiyo kazi yake aliyoibakiza hivi sasa. Toka amekabidhiwa chama kama Muenezi wake hajawahi hata siku moja kwenda mbele ya wananchi kueneza sera za ccm zaidi ya kuwaita waandishi wa habari kuimba nyimbo za kuabudu na kusifu.

Tofauti na hapo kejeli na vijembe kwa wapinzani. Mnapoteza muda mwingi kufikiri mnawabomoa wapinzani kumbe mnawaimarisha. Mmesahau nyumba yenu mnahangaika na ya wenzenu.

Hakuna upinzani mbaya kama huu unaofukata hivi sasa ndani ya ccm hasa tunapoelekea uchaguzi mkuu mwezi Oct mwaka huu. Niwahakikishieni hamtafanikiwa ktk vita ambapo ninyi wenyewe mnavurugana.

Tunashuhudia hivi sasa M/Kiti wenu Taifa anavyoyumbisha Serikali ukifikiri utaishia tu hapo la hasha. Hata chamani upo. Hasa kwenye nafasi za Wagombea Ubunge. Ni suala la muda tu utanielewa.

Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa wewe ndiyo wala ueleweki! Unachokipinga ndicho unachokifanya. Unasema CCM kazi kuongelea vyama vya upinzani, wakati wewe mwenyewe kazi yako ni kuongelea chama tawala.
 
Kwasababu hata cdm wakikaa kimya mtawataja tu Yani kweli mnaogopa mzimu wake.
 
Kama ambavyo wamesema Lijualikali na Waitara kuhusu Mbowe kuiba fedha na kwenda kufanya kilimo huko Ifakara. Mbowe alifanya kazi hiyo kwa Mgongo wa Diwani mmoja huko Ifakara jina silikumbuki vizuri.

Ila Diwani huyo alishambuliwa kwa mapanga na watu wasiojulikana. Taarifa nilizozipata wakati huo kutoka kwa viongozi wa juu ndani ya CHADEMA ni kuwa huenda Diwani huyo aliuawa kwasababu za kimaslahi kuhusu mambo ya mashamba na kilimo aliyofanya na Mbowe. Sikuandika kwasababu sikuwa na taarifa za ndani kuhusu mradi huo maana Wabunge hawa walificha hizi taarifa.

Ila niliwahi kuandika kuhusu hisia zangu za Mbowe kuhusika na upotevu wa Ben Saanane na Shambulio la Tundu Lissu. Magazeti yaliandika habari hii.

Sasa zipo hisia kubwa kutoka kwa viongozi ndani ya Chama kuwa Mbowe alihusika na shambulio la Diwani yule kwa sababu za kimaslahi.

Vyombo husika vifuatilie mwangwi huu!

Kwa tunaomjua Mbowe tunajua anaweza kufanya lolote almradi kulinda maslahi yake. Zitto kama hatakuwa mnafiki atakiri hadharani kuwa alishawahi kukatiwa breki za gari lake wakati fulani. Pia alitaka kuwekewa sumu na Ben Saanane.

Ben Saanane tukiwa nae Mabibo External kwenye Bar moja kubwa pale opposite na kanisa la KKKT baada ya kuondolewa Makao Makuu ya CHADEMA aliniambia kwa mdomo wake kuwa amemwambia Mbowe kuwa kama atabariki yeye kuondolewa Ben Saanane kuondolewa pale Makao makuu basi atajua atakavyojitetea maana wamefanya mengi yeye na Mbowe hivyo Mbowe anapaswa kumlinda. Jibu la Mbowe kwa Ben Saanane lilikuwa " UNANITISHA? Tuonane wiki ijayo" Alipoenda wiki ijayo akapewa cheo ambacho hakipo kwenye Katiba wala muundo wa Chama cha MSAIDIZI WA MWENYEKITI MAKAO MAKUU. alifanya kazi miezi miwili tu.

Nakumbuka alitumwa Hai na baadae Afrika Kusini. Aliporudi Afrika Kusini akiwa airport aliwasiliana na watu wawili kuwa amerudi baada ya hapo hajaonekana tena mpaka leo. Kwa tuliokuwa Makao Makuu mahusiano ya Mbowe na Saanane hayakuwa mazuri tena tangu Zitto aondoke CHADEMA maana siri nyingi zilivuja na hivyo Mbowe akawa anamkataa Saanane ili asichafuke. Mbowe anatumia mtu halafu anamkataa.

Alimtumia Zitto dhidi ya Chacha Wangwe akamkataa, Akamtumia Slaa na akina Saanane akawakataa, akawatumia Komu na Lwakatare dhidi ya Slaa leo amewakataa. Nasubiri anguko la Lissu baada ya Shambulio kufeli.

Muda unanisaidia sana. Ndio maana nasemaga JINI LINAWALA WAFUGA JINI.

Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe stupid kabisa, kwa hiyo unataka kusema kuwa Mbowe ndo alimpoteza Ben Saanane?
Na pia alimuua Diwani?
Yaani wewe upumbavu wako hautakusaidia lolote hapa Duniani

Hizi porojo zimerudi tena.
Watuwameomba uchunguzi na number yake simu mmeigawa.
Nyuzi kibao zipo humu zina ushahidi kibao lakini mlipiga kimya.
 
Ujinga wao ni kwamba kila wanapoambiwa ije FBI kuchunguza ishu ya Ben sanane hawataki ya lisu hawataki Sasa inamaana serikali inamkingia kifua mbowe? Inamaana serikali ya CCM inàmapenzi makubwa na mbowe mbona inamlinda Kama ni kweli ruhusuni FBI watue hapa ili mbowe aumbuke.
Sisi ni nchi huru tunaweza kujisimamia mambo yetu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sisi ni nchi huru tunaweza kujisimamia mambo yetu

Sent using Jamii Forums mobile app
Huu utopolo ulioandika unakusuta mpaka moyoni kama cc Ni nchi huru na tunaweza kujisimamia wenyewe kwanini mnawafumbia macho wahalifu wanaouwa watu? Kama tukisema mnakumbatia wahalifu tunakosea? Umemtuhumu mbowe hii maana yake unaweza kuisaidia polisi fanya hivyo vinginevyo haya ni majungu ya mtaka vyeo wà mataga kwa mgongo wa mbowe wajinga kabisa nyinyi hivi unajisikiaje kuwa DC au mp baada ya kuumiza mioyo watu na kuwachafulia heshima zao kwenye Jamii halafu kesho mnaenda kanisani kusali baba yetu uli mbinguni jina lako litukuzwe ...... Yani mtachomwa moto nyie .....
 
Back
Top Bottom