Tetesi: Diwani wa Ifakara aliyeshirikiana na Mbowe kwenye Kilimo aliuawa kwa kukatwa Mapanga


Kuna Jambo la kujifunza, kipindi hiki nili ji lock down, nikapata muda mwingi wa kuangalia vipindi kwenye tv, na channel mbili zilinivutia Sana moja Ina itwa CBS na nyingine ni ID Chanel no 170 na 171 dstv, zinahusika na kufanya criminal investigation,
Detectives wanawataka watu wenye fununu zozote waweze kutoa taarifa ili wazifanyie uchunguzi kwa case husika na kila taarifa wanayopata wanaifanyia kazi,na jukumu Lao kuwa clear wote ambao hawahusiki na kubaki na wahusika.

Kwa taarifa hiyo na kama hiyo case ya huyo diwani ilikua haijakua solved inaweza kuwasaidia wapelelezi kuanzia hapo uchunguzi. Kumbuka huyo alieuawa ni mtu mwenye ndugu jamaa na marafiki,taarifa yeyote itayopelekea kukamatwa wahusika ni vyema ikafanyiwa kazi.sasa ni jukumu la wapelelezi kuchunguza then wakikuta Hana hatia hawatashughulika nae
 
Naona Benson amekichafua, hawa vijana wa makao makuu wanajua mengi mengi sana hata kama mengine wata exaggerate lakini ni bora kutojibizana nao kama ambavyo kimkakati mnapanga kuwajibu. Wanawachokoza kwa mitego itayowaingiza mkenge na wana vitu vingi vya kuwa frustrate.

Uchaguzi ujao msishangae kampeni zikaongozwa na hawa hasa mitandaoni na watawabomoa kwelikweli. Hii mitego ndio muda muafaka kwa Chadema kuonesha ukomavu sasa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu nasubiria uandike unyanyasaji wa kingono unaofanywa na dj zero pale ufipa
 
FBI kwenye nchi za dunia ya tatu hawajawahi kuchunguza kwa ufanisi kwa kuwa mifumo mingi ni manual wakati kwao most of them are computerized. Hivyo usitegeme ufanisi sana kwa FBI wakija hapa Afrika.
 
Mbowe kawakamata sehemu nyeti dadadeki... na bado!! Siasa ni akili si maguvu!!
 
Kama ni kweli au uongo umeleta habari yako katka wrong timing sana. Si Kigogo alitoa tahadhari recent hapa kuwa kuna taarifa hii habari inaandaliwa kumchafua Mbowe kuhusu huyu Diwani? Mngesubiri kidogo basi maana hata kama ni kweli watu watajua ni maujibga ya kuchafuana tu
 
FBI kwenye nchi za dunia ya tatu hawajawahi kuchunguza kwa ufanisi kwa kuwa mifumo mingi ni manual wakati kwao most of them are computerized. Hivyo usitegeme ufanisi sana kwa FBI wakija hapa Afrika.
Kwahiyo mtatuuwa na polisi ya ndani imekumbatiwa na wanasiasa polisi ya nje iko computerized suluhisho ninini kwa mazingira ya Lissu
 
Kigogo ni mkurugenzi Makao makuu ya CHADEMA kama sio sheria za JF ningekutajia jina lake hapa. Ni I'd ya miaka mingi

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Acha Propaganda , nyumba aliyokuwa anaishi Ben iko jirani na nyumba ya dada yangu na mara nyingi jioni ikitokea nimepita alikuwa anakuja kunywa bia kwenye grocery ya jirani ....ni kijana alikuwa na maono sana ....majirani zake wanajua ukweli na sio huu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…