Tajiri Tanzanite
JF-Expert Member
- Oct 23, 2016
- 2,536
- 4,621
Hapo vip!
Kwanza nianze kwa kumpa pole huyu mwananchi kwasababu viongozi wengi sana wa kiafrika ni watu wanaopenda rushwa,kuabudiwa,kunyenyekewa na kutukunza ila haya yote ni kwasababu ya umaskini,ujinga,IQ ndogo, na asili ya kiafrika..nimesema haya kwasababu wazungu hawana hizi mambo.
Sasa ipo hivi kuna familia moja ilikuwa na nyumba maeneo ya kwa Ngulelo na hiyo nyumba imejengwa miaka ya 60s hivi au 70s ni nyumba ya miaka mingi sana na inafahamika mtaa mzima kwasababu ndio nyumba za kwanza mitaa hiyo.
Sasa TANROAD wakati wanajenga
Barabara ya njia 2 Arusha-moshi wakabomoa nyumba hiyo kwa kuigawa katikati na kumega eneo mpaka ambalo lilikuwa reserved area.
Kipindi TANROAD wanabomoa nyumba hii mwenye nyumba alifariki kwasababu ya mshituko na stress za tukio hilo..na kwasasa hivi hiyo nyumba hata vyumba vyake ukiingia ndani unashindwa kugeuka kwasababu ya kumegwa na kugawanywa katikati na TANROAD,image umeangaika kujenga nyumba kwa shida alafu TANRAOD wanakuja kukusababishia umaskini kwa kusema wanaleta maendeleo.
Kwanza naishauri serikali iziheshimu hizi familia ambazo ndio za kwanza kujenga nyumba za kisasa mjini,leo mnakuja kuzibomoa tena kwamadharau bila fidia just image...Dunia haitakiwi iwe hivi.
Sasa ipo hivi hii familia inadai fidia ya nyumba hii iliyobomolewa na wanadocuments au barau inatakiwa ipitie kwa mwenyekiti wa mtaa, kwa mtendaji n.k
Ila sasa mwenyekiti wa mtaa na Diwani wamekuwa wakiwafukuza ofisini hii familia wakidai waende popote hawapo tayari kupitisha hizo documents au barua,najiuliza nini maana kuchagulia kama kiongozi wa kutetea haki za wananchi?
Mwananchi anadai huyu mwenyekiti wa mtaa alishirikishwa na TANROAD mwanzo-mwisho kwenywe mchakato wote wa ubomoaji wa nyumba husika mpaka kwenye kamati ya tathmini alishirikishwa ila sasa hivi hawapo tayari kumpa mwananchi ushirikiano bali wapo tayari kuipa TANROAD.
Kilichonisikitisha zaidi nasikia jana diwani huyo amewafukuza hao wananchi kwa dharau kubwa na akitoa order yakwamba kiongozi yeyote ngazi ya kata asipitishe documents hizo. Na hoja wanaojenga eti hawa wananchi ni wakorofi ili wapate legality yakufanya wanayofanya...hivi kuletewa documents na kusoma na kupitisha hapo documents zitaanza kuleta ukorofi?
Najiuliza je ni kosa kwa mwanachi kudai haki yake tena iliyowazi namna ile....au kuna namna wameshirikiana na TANROAD wakafanya yao?kuna jambo limejificha hapa...
Wanasema huyo mwenyeki wa mtaa anapenda rushwa mno na ni wale viongozi wenye njaa kali wanaopenda kuomba omba bia kila baa kwasababu ya ulevi..Image hapa kuna kiongozi kweli?
Ndio maana watu wa Arusha wanamlilia Makonda kwasababu amekuwa kama mkombozi kwa watu wanaodhulumiwa na kunyanyasa katika mkoa wa Arusha.