Diwani wa Kunduchi, Michael Urio na Mkiti wa Serikali ya Mtaa Bwana Kibele Katika Kashfa nzito

Kinoamiguu

JF-Expert Member
Joined
Nov 29, 2018
Posts
17,499
Reaction score
25,295
Nani anasema ukweli katika sakata hili linaloendelea la kuwavunjia watu nyumba na makazi yao kwa kuwarubuni.
Ni diwani wa kata ya KUNDUCHI bwana MICHAELI URIO ambaye aliwaambia wananchi : hwawezi kutajirika kwa pesa za fidia au bwana KIBELE anyewapigia wananchi simu usiku ili wampelekee hati zao za nyumba?
nani anasema ukweli katika hili? ni chama cha ccm tawi la mtongani kilichopokea ml 50 kwa kufanya udalali au diwani URIO?
Huku ujenzi wa mradi ukiwa unaendelea, kwanini waliolipwa fidia wameambiwa wasibomoe nyumba zao mpaka baada ya uchaguzi mkuu?
Beatrice na Azizi ni nani na nani anawatuma kushawishi watu wauze nyumba zao?
Ambali ni nani na nani anamtumia kushawishi watu wauze nyumba zao?
ni kweli eneo husika lipo kwenye mradi wa BRT?
Kama ndivyo hawa TAKUKURU wanachunguza nini kwenye ofisi za KATA hapo Mtongani?
 
Hayo mapya .....kwani serikali si ilitoa tangazo katika GN kuwa itatwaa eneo lenye ukubwa wa square mita 153000 kuanzia pale mbuyuni hadi huko meko kwenye makazi ya watu. ...pamoja na kule boko Dawasa.

Mbona huo mradi upo official mkuu,sidhani kama kuna mtu binafsi anataka ilo eneo zaidi ya serikali.... Ni kawaida sehemu kukiwa na mradi wananchi wengine kugomea malipo na wengine kukubari/ cha msingi labda ushauri fidia kama ndogo iongezwe mkuu ...Usichafue watu kama hauna ushaidi.
 
Back
Top Bottom