mswaki mbuyu
JF-Expert Member
- May 28, 2017
- 708
- 445
Zarina alikua anajulikana mda tuu labda kama ulikua lock up tokea enzi hizo humu humu tulikua tukimjadili hasa hasa kuhusu white party zake Uganda...huku mzee wa you know akiwa hakosiUno la chibu chibuuu linamkondesha zariii. 🎤
Vipi ulishawahi kumsikia zari kabla ya kuanza kudate na mond??? Hao wote walikuwa wanatembelea kiki za chibu tu.
tHeY used to be!!Kitendo cha kuwakumbuka hata thread ni ishara tosha kwamba bado ni watu wenye harufu maarufu
Nigger swala sio kujulikana, swala ni umaarufu, hivi ni vitu viwili tofauti, umaarufu aliokuwa nao huo muda wa white party hiwezi kucompare hata theluthi na wakati yupo na diamond, diamond alimuongezea umaarufu maradufu huyo bibie hakuna atakaebisha ilifika kipindi hata watoto wadogo huko mitaani walikuwa wanamjua wengine jina walilisikia tu bila hata kujua sura yake.Zarina alikua anajulikana mda tuu labda kama ulikua lock up tokea enzi hizo humu humu tulikua tukimjadili hasa hasa kuhusu white party zake Uganda...huku mzee wa you know akiwa hakosi
Huyo zarina wa white party alikuwa ana uwezo wa kuja bongo na kujaza GSM mall kama ilivyotokea wakati wa mahusiano yake na nasibu??Zarina alikua anajulikana mda tuu labda kama ulikua lock up tokea enzi hizo humu humu tulikua tukimjadili hasa hasa kuhusu white party zake Uganda...huku mzee wa you know akiwa hakosi
yale matangazo yake kwenye vituo vya mwendokasi yameondolewa?He used to be!!
Zari and Hamisa = They sio heHe used to be!!
Bakhresa mdogo kumbe unapata muda wa kuingia humu?Hata mimi mara nyingi sitakagi kujulikana kama navuna wastani wa tani 250 za korosho ni miongoni mwa matajiri 10 bora wa ufuta Tanzania
Nigger swala sio kujulikana, swala ni umaarufu, hivi ni vitu viwili tofauti, umaarufu aliokuwa nao huo muda wa white party hiwezi kucompare hata theluthi na wakati yupo na diamond, diamond alimuongezea umaarufu maradufu huyo bibie hakuna atakaebisha ilifika kipindi hata watoto wadogo huko mitaani walikuwa wanamjua wengine jina walilisikia tu bila hata kujua sura yake.
Nashukuru kwa kulitambua hilo mkuu ,Ni kweli kabisa...mm nilianza kumfahamu Zari 2014 kabla ya kuwa na Diamond alikua ana followers 27k instagram...sasa hv ana followers 6m...Diamond alimbust sana umaarufu wake!
Diamond naye alikua na followers wangap hiyo 2014?Ni kweli kabisa...mm nilianza kumfahamu Zari 2014 kabla ya kuwa na Diamond alikua ana followers 27k instagram...sasa hv ana followers 6m...Diamond alimbust sana umaarufu wake!
smart phone mistake....."prediction text"Zari and Hamisa = They sio he
oksmart phone mistake....."prediction text"
Kujulikana umeuliza au kujaza mall?Huyo zarina wa white party alikuwa ana uwezo wa kuja bongo na kujaza GSM mall kama ilivyotokea wakati wa mahusiano yake na nasibu??