Dizain kama umaarufu wa Zari na Mobetto umeanza kufifia hivi

Uno la chibu chibuuu linamkondesha zariii. šŸŽ¤

Vipi ulishawahi kumsikia zari kabla ya kuanza kudate na mond??? Hao wote walikuwa wanatembelea kiki za chibu tu.
Zarina alikua anajulikana mda tuu labda kama ulikua lock up tokea enzi hizo humu humu tulikua tukimjadili hasa hasa kuhusu white party zake Uganda...huku mzee wa you know akiwa hakosi
 
Kiranga,
Hata mimi mara nyingi sitakagi kujulikana kama navuna wastani wa tani 250 za korosho ni miongoni mwa matajiri 10 bora wa ufuta Tanzania
 
Nigger swala sio kujulikana, swala ni umaarufu, hivi ni vitu viwili tofauti, umaarufu aliokuwa nao huo muda wa white party hiwezi kucompare hata theluthi na wakati yupo na diamond, diamond alimuongezea umaarufu maradufu huyo bibie hakuna atakaebisha ilifika kipindi hata watoto wadogo huko mitaani walikuwa wanamjua wengine jina walilisikia tu bila hata kujua sura yake.
 
Huyo zarina wa white party alikuwa ana uwezo wa kuja bongo na kujaza GSM mall kama ilivyotokea wakati wa mahusiano yake na nasibu??
 
Kama umaarufu umewapungua mbona umewafungulia uzi na watu wanachangia?
 
Hata mimi mara nyingi sitakagi kujulikana kama navuna wastani wa tani 250 za korosho ni miongoni mwa matajiri 10 bora wa ufuta Tanzania
Bakhresa mdogo kumbe unapata muda wa kuingia humu?
 
Ni kweli kabisa...mm nilianza kumfahamu Zari 2014 kabla ya kuwa na Diamond alikua ana followers 27k instagram...sasa hv ana followers 6m...Diamond alimbust sana umaarufu wake!
Nigger swala sio kujulikana, swala ni umaarufu, hivi ni vitu viwili tofauti, umaarufu aliokuwa nao huo muda wa white party hiwezi kucompare hata theluthi na wakati yupo na diamond, diamond alimuongezea umaarufu maradufu huyo bibie hakuna atakaebisha ilifika kipindi hata watoto wadogo huko mitaani walikuwa wanamjua wengine jina walilisikia tu bila hata kujua sura yake.
 
Ni kweli kabisa...mm nilianza kumfahamu Zari 2014 kabla ya kuwa na Diamond alikua ana followers 27k instagram...sasa hv ana followers 6m...Diamond alimbust sana umaarufu wake!
Nashukuru kwa kulitambua hilo mkuu ,
 
Ni kweli kabisa...mm nilianza kumfahamu Zari 2014 kabla ya kuwa na Diamond alikua ana followers 27k instagram...sasa hv ana followers 6m...Diamond alimbust sana umaarufu wake!
Diamond naye alikua na followers wangap hiyo 2014?
 
Back
Top Bottom