DR SANTOS
JF-Expert Member
- Mar 11, 2019
- 12,846
- 28,106
Baada ya kuachia tribulation ngoma ya kumdiss rapcha naona ata ngoma zake zimeanza kupepea hewani hata wasomjua dizasta wamemjua Sasa.
Hila jamaa flow yake haibadiliki ana usanii ule wa kizamani wa kuimba kwa kusimulia mkasa tukio Fulani. Aige mifano Kwa songa, Nash mc Nikki mbishi max Cortez.
Skiza ngoma ya songa Udom
Hila jamaa flow yake haibadiliki ana usanii ule wa kizamani wa kuimba kwa kusimulia mkasa tukio Fulani. Aige mifano Kwa songa, Nash mc Nikki mbishi max Cortez.
Skiza ngoma ya songa Udom