Dizasta Vina ndo "Rap god" wa bongo kwa sasa

kali linux

JF-Expert Member
Joined
May 21, 2017
Posts
2,192
Reaction score
5,685
Hello bosses...

Nlidhan sitokuja kusikiliza tena rap kutoka bongo, kwa wale tunaopenda rap kutoka kwa veterans iwe wa humu tz au nnje basi natumaini mtanielewa. Dizasta ni complete package ya msanii, hata videos zake ni simple ila zinatell story kama miaka ile ya kina professor Jay, Juma nature, Ferouz etc..

Kama hii ngoma mpya ya "KIBINTI NA KIBABU"

aisee ni hatari kwa vocals, video hadi story yake

Huyu jamaa tumpe support kama kweli wewe ni mdau wa rap. Let's subscribe to his youtube channel hadi 200k ili muziki wake uwafikie wengi zaidi.

#VitaminMusic
~Kali Linux
 
Aisee ni kweli. Binafsi sikumbuki ni lini nilisikiliza redio zetu za hapa Bongo kwa mara ya mwisho. Huyu jamaa ninemfahamu kupitia humu jamiiforums. Na tangu nimejitahidi kusikiliza kazi zake zote .

Kwa kumsikiliza, naona ni mtu fulani mwenye exposure sana ya mambo mengi.
 
Hello bosses...

Kwanza mods Moderator acheni kuunganisha nyuzi zinazomuongelea Dizasta Vina la sivyo muunganishe pia nyuzi zoote zinazomuongelea diamond platnumz, they all deserve equal media attention.

Nlidhan sitokuja kusikiliza tena rap kutoka bongo, kwa wale tunaopenda rap kutoka kwa veterans iwe wa humu tz au nnje basi natumaini mtanielewa. Dizasta ni complete package ya msanii, hata videos zake ni simple ila zinatell story kama miaka ile ya kina professor Jay, Juma nature, Ferouz etc..

Kama hii ngoma mpya ya "KIBINTI NA KIBABU" aisee ni hatari kwa vocals, video hadi story yake

Mkuu mbona kama lugha uliyotumia kumpigia campaign jamaa kama sio nzuri....!

Of course, kwa upande wangu najua kama Dizasta ni msanii mzuri ila najua haiwezi ikawa Kwa kila mtu, kutoskiliza wasanii wengine hakumfanyi Dizasta vina kuwa Bora Kwa kila mtu

Hao wasanii wengine nawao wana mashabiki wao huwaambii kitu kuhusu wao, kwahiyo tupende machaguo yetu huku tukiheshimu machaguzi ya wengine

All in all, Dizasta ni msanii mzuri na anahitaji sikio kwa kila mpenda mziki, baada ya hapo support itakuja tu yenyewe maana waswahili walisema kizuri chajiuza na kibaya chajitangaza
 
Mkuu mbona kama lugha uliyotumia kumpigia campaign jamaa kama sio nzuri....!
Labda uniqoute nlipotumia hio lugha mbaya.

Pia ninachoandika ni personal opinion, ukiona haina maana kwako unapuuzia tu maisha yanaendelea chief, wapo tuliopo kwenye dimension moja na huyu jamaa na wapo waliopo nje ya dimension yake.
 
Aisee ni kweli. Binafsi sikumbuki ni lini nilisikiliza redio zetu za hapa Bongo kwa mara ya mwisho. Huyu jamaa ninemfahamu kupitia humu jamiiforums. Na tangu nimejitahidi kusikiliza kazi zake zote .

Kwa kumsikiliza, naona ni mtu fulani mwenye exposure sana ya mambo mengi.
Dizasta anajua, anatoa mistari ambayo hata kama sio msomi utaelewa lkn ukiwa msomi unaweza hata sikiliza hadi ofisini.
 
Sawa sawa, Ila bado ana safari ndefu aliewekeza mwambie aongeze pesa
"Safari ndefu" labda kwa maana ya kujulikana tu, coz nadhan jamaa hana management au kama anayo basi haiko vizuri. Lkn ukisema safari ndefu kwa maana ya kipaji utakua unakosea sana.

Pia Rap bongo ngumu sana kutoboa toka miaka ya zamani, ila kwa uwezo wa huyu jamaa inawezekana akafika mbali
 
Lazima nyuma ana mtu, mwambieni mtu wa nyuma yake aongeze Pesa ili safari isiishie njiani akapige collaboration za nje ili afahamike zaidi sio anaishia ndani tu na kumsifia sifia baada ya hapo hakuna muendelezo
 
Hapa tupo mashabiki tu, peleka ujumbe kunakopaswa kijana.
Kijana muziki biashara usione watu wanapasua anga kuna pesa zinamwagwa, sio kwa majisifu km waimba singeli wa Mbagara na umaarufu wa kwa mtogole na viunga vyake, pesa inaleta furaha pesa inatengeneza mengi, manager wake aongeze kibunda na Page za kumpigia promo waongeze sasa kila angle ya media
 
Sawa umesikika
 
Labda uniqoute nlipotumia hio lugha mbaya.

Pia ninachoandika ni personal opinion, ukiona haina maana kwako unapuuzia tu maisha yanaendelea chief, wapo tuliopo kwenye dimension moja na huyu jamaa na wapo waliopo nje ya dimension yake.
Kusema kwamba hutoskiliza msanii mwingine yoyote wa rap ni kama dharau kwa wasanii wengine ilhali kuna wasanii kibao still wanatoa kazi nzuri

One last week katoa album,Songa ametoa album,mex ana EP, young killer ana super Nyota it means kwako hawa walichokifanya hakistahili kupata attention yako kama wewe ni muumini wa hop hop ata kama ni maoni yako binafsi?

Anyway, naheshimu mawazo yako na maoni yako mkuu, Acha tuendelee kumsapoti Dizasta kama lengo mama la kuanzishwa huu uzi
 
Ni type ya kina NF kama unamjua
Na ni rapper bora sana na anajua mno

aina ya hip hop au mtindo wake ni mzuri lakini isiyolipa pesa nyingi hasa hii bongo hii generation X inapenda mitindo ya kina lunya ( non eccentric songs)
Wakongwe tutaendelea kumsapoti kwa namna Moja au nyingine
 
Wasanii wa Hip hop na mashabiki wao ni Kama madish yameyumba.

Muda wote ni mabishano, league, kutukanana, kila mmoja kujiona mkali kuliko mwenzake.

Takataka kabisa
 
Ni msanii mzuri, ila sio ukubwa huo
List ya wakali ambao wapo next level
-young killer msodoki
-conboi
-mex Cortez
- maarifa- akiwa serious anajua
 
Hello bosses...

Kwanza mods Moderator acheni kuunganisha nyuzi zinazomuongelea Dizasta Vina la sivyo muunganishe pia nyuzi zoote zinazomuongelea diamond platnumz, they all deserve equal media attention.

Nlidhan sitokuja kusikiliza tena rap kutoka bongo, kwa wale tunaopenda rap kutoka kwa veterans iwe wa humu tz au nnje basi natumaini mtanielewa. Dizasta ni complete package ya msanii, hata videos zake ni simple ila zinatell story kama miaka ile ya kina professor Jay, Juma nature, Ferouz etc..

Kama hii ngoma mpya ya "KIBINTI NA KIBABU" aisee ni hatari kwa vocals, video hadi story yake

Huyu jamaa tumpe support kama kweli wewe ni mdau wa rap. Let's subscribe to his youtube channel hadi 200k ili muziki wake uwafikie wengi zaidi.

#VitaminMusic
~Kali Linux
Support aliyonayo inamtosha sana, inalinga na uwezo wake.
YouTube subscribers 33,000 na streams zake kwenye digital platforms vinaakisi uwezo wake ulipoishia, kuna vijana wenzake wa mtaani kwake wanajitahidi kulazimisha aonekane kana kwamba ana uwezo mkubwa si vibaya. Mpambanieni labda na ambao bado wanamchukulia poa watamuelewa in due time.
Sisi wengine bado tuko kwenye old school za kina Run DMC, KRS One, Easy E, Ice T, Ice Cube and the likes.
Sijui ndiyo uwezo wako kiakili ulipoishi kwani hata hii JF ni biashara ya watu, unaposema kama threads za huyo msanii wako Dizasta zinaunganishwa basi na za Diamond ziunganishwe hebu angalia tofauti ya idadi ya wachangiaji kwa hao wawili then ujipime uwezo wako wa kuchanganua mambo. Uko radhi kufelisha biashara ya mtu kwa sababu za ushabiki?
Mtu mwenye audience kubwa ni kawaida kupewa nafasi zaidi, the end justifies the means. Hapa watu wamewekeza pesa, nguvu, muda na maarifa pia wameajiri watu hivyo mwisho wa siku lazima waingize pesa.
 
nikweli anauwezo mkubwa ,hilo halipingwi , tamaduni music haitoigi vitu vibov
 
Hello bosses...

Kwanza mods Moderator acheni kuunganisha nyuzi zinazomuongelea Dizasta Vina la sivyo muunganishe pia nyuzi zoote zinazomuongelea diamond platnumz, they all deserve equal media attention.

Nlidhan sitokuja kusikiliza tena rap kutoka bongo, kwa wale tunaopenda rap kutoka kwa veterans iwe wa humu tz au nnje basi natumaini mtanielewa. Dizasta ni complete package ya msanii, hata videos zake ni simple ila zinatell story kama miaka ile ya kina professor Jay, Juma nature, Ferouz etc..

Kama hii ngoma mpya ya "KIBINTI NA KIBABU" aisee ni hatari kwa vocals, video hadi story yake

Huyu jamaa tumpe support kama kweli wewe ni mdau wa rap. Let's subscribe to his youtube channel hadi 200k ili muziki wake uwafikie wengi zaidi.

#VitaminMusic
~Kali Linux
Overrated rapper

Sent from my Infinix X650B using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom