kali linux
JF-Expert Member
- May 21, 2017
- 2,192
- 5,685
Hello bosses...
Kwanza mods Moderator acheni kuunganisha nyuzi zinazomuongelea Dizasta Vina la sivyo muunganishe pia nyuzi zoote zinazomuongelea diamond platnumz, they all deserve equal media attention.
Nlidhan sitokuja kusikiliza tena rap kutoka bongo, kwa wale tunaopenda rap kutoka kwa veterans iwe wa humu tz au nnje basi natumaini mtanielewa. Dizasta ni complete package ya msanii, hata videos zake ni simple ila zinatell story kama miaka ile ya kina professor Jay, Juma nature, Ferouz etc..
Kama hii ngoma mpya ya "KIBINTI NA KIBABU"aisee ni hatari kwa vocals, video hadi story yake
Huyu jamaa tumpe support kama kweli wewe ni mdau wa rap. Let's subscribe to his youtube channel hadi 200k ili muziki wake uwafikie wengi zaidi.
#VitaminMusic
~Kali Linux
Labda uniqoute nlipotumia hio lugha mbaya.Mkuu mbona kama lugha uliyotumia kumpigia campaign jamaa kama sio nzuri....!
Unashangaa coz nadhan hujui tofauti ya 'god' na 'God'Rap God, seriously?
Dizasta anajua, anatoa mistari ambayo hata kama sio msomi utaelewa lkn ukiwa msomi unaweza hata sikiliza hadi ofisini.Aisee ni kweli. Binafsi sikumbuki ni lini nilisikiliza redio zetu za hapa Bongo kwa mara ya mwisho. Huyu jamaa ninemfahamu kupitia humu jamiiforums. Na tangu nimejitahidi kusikiliza kazi zake zote .
Kwa kumsikiliza, naona ni mtu fulani mwenye exposure sana ya mambo mengi.
Sawa sawa, Ila bado ana safari ndefu aliewekeza mwambie aongeze pesaUnashangaa coz nadhan hujui tofauti ya 'god' na 'God'
"Safari ndefu" labda kwa maana ya kujulikana tu, coz nadhan jamaa hana management au kama anayo basi haiko vizuri. Lkn ukisema safari ndefu kwa maana ya kipaji utakua unakosea sana.Sawa sawa, Ila bado ana safari ndefu aliewekeza mwambie aongeze pesa
Lazima nyuma ana mtu, mwambieni mtu wa nyuma yake aongeze Pesa ili safari isiishie njiani akapige collaboration za nje ili afahamike zaidi sio anaishia ndani tu na kumsifia sifia baada ya hapo hakuna muendelezo"Safari ndefu" labda kwa maana ya kujulikana tu, coz nadhan jamaa hana management au kama anayo basi haiko vizuri. Lkn ukisema safari ndefu kwa maana ya kipaji utakua unakosea sana.
Pia Rap bongo ngumu sana kutoboa toka miaka ya zamani, ila kwa uwezo wa huyu jamaa inawezekana akafika mbali
Hapa tupo mashabiki tu, peleka ujumbe kunakopaswa kijana.mwambieni mtu wa nyuma yake aongeze Pesa
Kijana muziki biashara usione watu wanapasua anga kuna pesa zinamwagwa, sio kwa majisifu km waimba singeli wa Mbagara na umaarufu wa kwa mtogole na viunga vyake, pesa inaleta furaha pesa inatengeneza mengi, manager wake aongeze kibunda na Page za kumpigia promo waongeze sasa kila angle ya mediaHapa tupo mashabiki tu, peleka ujumbe kunakopaswa kijana.
Sawa umesikikaKijana muziki biashara usione watu wanapasua anga kuna pesa zinamwagwa, sio kwa majisifu km waimba singeli wa Mbagara na umaarufu wa kwa mtogole na viunga vyake, pesa inaleta furaha pesa inatengeneza mengi, manager wake aongeze kibunda na Page za kumpigia promo waongeze sasa kila angle ya media
Kusema kwamba hutoskiliza msanii mwingine yoyote wa rap ni kama dharau kwa wasanii wengine ilhali kuna wasanii kibao still wanatoa kazi nzuriLabda uniqoute nlipotumia hio lugha mbaya.
Pia ninachoandika ni personal opinion, ukiona haina maana kwako unapuuzia tu maisha yanaendelea chief, wapo tuliopo kwenye dimension moja na huyu jamaa na wapo waliopo nje ya dimension yake.
Support aliyonayo inamtosha sana, inalinga na uwezo wake.Hello bosses...
Kwanza mods Moderator acheni kuunganisha nyuzi zinazomuongelea Dizasta Vina la sivyo muunganishe pia nyuzi zoote zinazomuongelea diamond platnumz, they all deserve equal media attention.
Nlidhan sitokuja kusikiliza tena rap kutoka bongo, kwa wale tunaopenda rap kutoka kwa veterans iwe wa humu tz au nnje basi natumaini mtanielewa. Dizasta ni complete package ya msanii, hata videos zake ni simple ila zinatell story kama miaka ile ya kina professor Jay, Juma nature, Ferouz etc..
Kama hii ngoma mpya ya "KIBINTI NA KIBABU"aisee ni hatari kwa vocals, video hadi story yake
Huyu jamaa tumpe support kama kweli wewe ni mdau wa rap. Let's subscribe to his youtube channel hadi 200k ili muziki wake uwafikie wengi zaidi.
#VitaminMusic
~Kali Linux
nikweli anauwezo mkubwa ,hilo halipingwi , tamaduni music haitoigi vitu vibovSupport aliyonayo inamtosha sana, inalinga na uwezo wake.
YouTube subscribers 33,000 na streams zake kwenye digital platforms vinaakisi uwezo wake ulipoishia, kuna vijana wenzake wa mtaani kwake wanajitahidi kulazimisha aonekane kana kwamba ana uwezo mkubwa si vibaya. Mpambanieni labda na ambao bado wanamchukulia poa watamuelewa in due time.
Sisi wengine bado tuko kwenye old school za kina Run DMC, KRS One, Easy E, Ice T, Ice Cube and the likes.
Sijui ndiyo uwezo wako kiakili ulipoishi kwani hata hii JF ni biashara ya watu, unaposema kama threads za huyo msanii wako Dizasta zinaunganishwa basi na za Diamond ziunganishwe hebu angalia tofauti ya idadi ya wachangiaji kwa hao wawili then ujipime uwezo wako wa kuchanganua mambo. Uko radhi kufelisha biashara ya mtu kwa sababu za ushabiki?
Mtu mwenye audience kubwa ni kawaida kupewa nafasi zaidi, the end justifies the means. Hapa watu wamewekeza pesa, nguvu, muda na maarifa pia wameajiri watu hivyo mwisho wa siku lazima waingize pesa.
Overrated rapperHello bosses...