Dizasta vina: Ujumbe uliojificha wenye kufikirisha kwenye wimbo wake mpya wa "the verteller"

Scars

JF-Expert Member
Joined
Apr 8, 2017
Posts
48,055
Reaction score
116,512
Inafaa kunena, inafaa kunena labda ni muhimu sijui, labda kusimulia si karama kama wanavyo sema

Ikiwa msimuliaji huingia hatarini, labda kweli baraka ni laana njema

Wasikilizaji naskia wana ndoto na wenyewe, si uongo hadithi nzuri ndio kilele kwa wasikilizaji ila ndoto ya msimuliaji

Ndoto ya msimuliaji ni kulindwa milele, kwanini azibwe mdomo wakati ubongo unapiga kelele?. Si lazima msimuliaji apazwe la hasha atandikiwe majani au aandikwe kama mwanasiasa

Lakini lengo lake awe huru msimuliaji atambe alindwe ili waovu waonyeshwe mashujaa watangazwe

Ona kuna wasimuliaji hukwepa pande tupu, Yaani baada ya mitaji husimulia upande wa wenye nguvu

Wapo wa binafsi wanaotangaza jinsi asili ilivyo wahusudu. Husimulia walivyo shinda vita wakigombea asali na wadudu

Swali ni je nani atasimulia hadithi ya wadudu?, nani atasimulia kua si mara zote mchukua asali alimsulubu mdudu?

Nani atasimulia hadithi ya shetani baada ya kusikia ya
Inafaa kunena, inafaa kunena labda ni muhimu sijui labda kusimulia si karama kama wanavyo sema

Ikiwa msimuliaji ameingia hatarini, labda kweli baraka ni laana njema

Wasikilizaji naskia wana ndoto na wenyewe si uongo hadithi nzuri ndio kilele kwa wasikilizaji ila ndoto ya msimuliaji

Ndoto ya msimuliaji ni kulindwa milele, kwanini azibwe mdomo wakati ubongo unapiga kelele?. Si lazima msimuliaji apazwe la hasha atandikiwe majani au aandikwe kama mwanasiasa

Lakini lengo lake awe huru msimuliaji atambe alindwe ili waovu waonyeshwe mashujaa watangazwe

Ona kuna wasimuliaji hukwepa pande tupu, Yaani baada ya mitaji husimulia upande wa wenye nguvu

Wapo wa binafsi wanaotangaza jinsi asili ilivyo wahusudu. Husimulia walivyo shinda vita wakigombea asali na wadudu

Swali ni je nani atasimulia hadithi ya wadudu?, nani atasimulia si mara zote mchukua asali alimsulubu mdudu?

Nani atasimulia hadithi ya shetani baada ya kusikia upande wa mungu?

Waungwana kumbukeni ya muhimu na ziada, Kumbukeni ya uchumi jamii na siasa.

Lindeni ghala la chakula na maji lakini msisahau kumlinda msimuliaji ni afya

Japokua msimuliaji si alama ya taifa, lakini fikiria mtu ambaye yuko tayari kulipa gharama ya maisha

Msimuliaji hukukumbusha ulilotoka ujue unapoenda, na hiyo ndio faida.

Labda ukumbuke hamdimu na majoka, au simulizi ya mizimu ya mloka

Au tarihi ambazo ni historia za kuziheshimu, maana asiyejua historia huweza kurudia makosa

Msimuliaji hachagui upande maana hapendi kupotoka, hafungamani na misalaba ama alama za mwezi na nyota

Alama za wasimuliaji walio idondosha heri, walio okota sifa wakati wakidondosha kweli

Enyi wakaki, kijani na manjano, mmeona nyekundu ile pale haijaja pale leo.

Ipo tanfu kale, msiruhusu iwaguse si kwakua hamna hadhi la hasha, ila ile rangi anaifahamu msimuliaji

Ile rangi ni damu iliyomtoka au kumrukia na mchanganyiko wa damu zote za pande za dunia.

Anajua leo anaijua jana hajaisoma au kuisikia, aliipata wakati akitafuta vya kusimulia

Na ndio hivi anavyotaka kukusimulia leo.......nyakati za kati kati kwenye eneo la ukanda wa kidachi, zilizaliwa lugha tatu lugha ghafi, na kati yao ilikuwepo lugha inayoitwa lugha ya watu.

Kwenye ukanda huu msimuliaji hakuitwa narrator au story teller kwa kiingereza...

Hakuitwa elzeller japokua ukanda huu ulikua karibu sana na ujerumani

Hakuitwa rawi kwakua ukanda haukuwa wa uarabu, msimuliaji aliitwa the vertteller

Kama christo
upande wa mungu?

Back
Top Bottom