Danielmwasi
JF-Expert Member
- May 3, 2021
- 2,134
- 3,834
Unataka waanze kuunga mkono mambo ya [emoji304]Itikadi za wasanii wa Hip Hop wa Tanzania zinawafelisha sana, kama na yeye akiachana na hizo itikadi atatusua. Anaweza mtaa unamuelewa (idadi ya wasikilizaji aliowapata na anaowakusanya)