DIZASTA VINA

DIZASTA VINA

Danielmwasi

JF-Expert Member
Joined
May 3, 2021
Posts
2,134
Reaction score
3,834
We have the best hiphop artist na wamefichwa na media . Huyu artist is very smart. Anajua kuandika slow artistic rap . Sio makelele. He should be one of the best hip hop house names hapa bongo . I think ana maneno mengi sana ya kusema . I believe ana hits kibao kwenye kichwa chake . Label wamsain huyu jamAa aende commercial . A mix with bongo flava artists jamaa will go far
 
Itikadi za wasanii wa Hip Hop wa Tanzania zinawafelisha sana, kama na yeye akiachana na hizo itikadi atatusua. Anaweza mtaa unamuelewa (idadi ya wasikilizaji aliowapata na anaowakusanya)
 
Jamaa namkubali sana nina album zake sichoki kusikiliza ila ana pini inaitwa tega sikio na maswali moto wa kuotea mbali
 
Itikadi za wasanii wa Hip Hop wa Tanzania zinawafelisha sana, kama na yeye akiachana na hizo itikadi atatusua. Anaweza mtaa unamuelewa (idadi ya wasikilizaji aliowapata na anaowakusanya)
Unataka waanze kuunga mkono mambo ya [emoji304]

Ova
 
Nimesema itikadi na sio huo uhuni wa kushabikia hii jamii ya (elojibitii). Mrangi haujanielewa, rudia tena kusoma labda kuna kitu utakipata ukisoma kwa mara ya pili
 
Back
Top Bottom