Dj AD Mafuvu aacha kazi EATV / EA Radio

Azam TV kwa kujali hali ya wafanyakazi wake
Presenters wengi ndio kimbilio lao kwasasa
 

Tutakumiss sana Dj Fuvu na makelele yako kwenye kipindi...all da best man
 
Haya kawekeze nguvu zaidi pale kwenye vitega uchumi vyako mtoni kwa aziZi ali ila sababu za kuacha kazi hazina mashiko kabisa pale ndo umedevelop career yako sio fresh kuondoka kwa maneno ya kejeli
 

we jamaa sijui umekula maharage ya wapi wewe

tatizo la watanzania kama nyie mnajiona mna elimu ila elimu yenu haijawakomboa

hivi unajua mtu akishakuwa BRAND ni lazima alipwe vizuri hata kama aliishia la saba? na ndio maana wasani, wanamichezo wanatengeneza pesa ndefu kuliko wewe mnyonga tai na miwani ya kisomi

na kwenye Music Industry haiangaliwi elimu mkubwa kinachoangaliwa ni uwezo, ufundi n.k

Niambie ni chuo gani kinatoa degree ya U DJ?

watanzania tuna safari ndefu sana
 

bora afukuzwe tu mngese yule
 

Bora umeongea wewe. Kama kigezo cha malipo mazuri ni elimu basi akatafutwe DJ mwenye masters.

Mkuu elimu ya Tanzania inaongezea watu vyeti sio kufikiri.
 

Huwa hakuna malipo mabaya au mazuri lakini inategemea na mtu ana ithamini vipi pesa anayo pewa...pengine hakuna kiasi kinacho mtosheleza mtu yeyote yule....! Hiyo brand imetengenezwa na nani? Mafuvu jina lake ulilijua kabla ya kwenda EATV? Watu wana lipwa kulingana na uzalishaji! Hivi mafuvu haku sign mkataba? Alipo sign hakujua mshahara ni kiduchu? Kwanini hakuacha kazi au kuikataa?

Kama walishindwana kwanini anafanya matangazo na kutaka watu waonekane ni wabaya? Mimi huwa si shabikii mtu anaye ondoka sehemu kwa kuwasema waajiri wake wakati kila mtu anajua fika wao ndio wamemfanya kila mtu anamfahamu kabisa kuondoka kwa kejeli ni utovu wa nidhamu...watu wanaweza kutompa nafasi kwa kujua na wao atawasema kama alivyo wasema wengine watakapo shindwana na ukumbuke tabia haina dawa..!

Jiulize kwanini Mafuvu ameifuta post hii na kuomba msamaha kwa EATV na watu walio kwazwa?
 

Kuna tatizo watu wakishapata umaarufu wanaondoka kwa mbwembwe na kuwakejeli waajiri ambao wamewatoa mbali Maestro katoka Clouds kaenda EFM but hakuwakashifu Clouds,Millard Ayo hadi leo anatoa credit kwa TVZ,Wapo Radio na Radio One kwa mafanikio aliyopata.Kazi za media ni kama part time lazima uwe na issue nyingine unafanya kama kina Kibonde,Dr Maro,Shaffii,BDozen,Gondwe otherwise utakufa maskini
 

Tumeshu hudia watangazaji na wengine wakiondoka media fulani bila maneno japo tunajua kuwa hushindwana..lakini wana kwenda kwa Amani pale IPP wameondoka wengi sana kwa amani lakini mtu kuondoka kwa maneno si afya kabisa!
Tunajua watu huama kwaajili ya maslai lakini kuwasema walio kuajiri ili waonekane wabaya si vyema...!
Kuna dj anaitwa djommycrazy emetoka E-fm ndio amechukua nafasi ya mafuvu lakini mbona ameondoka kwa amani bila maneno?
 

Mkuuuu sasaivi nimeshakuelewa kwakile ulichokua unamanishaaaa.
 
Jiulize kwanini Mafuvu ameifuta post hii na kuomba msamaha kwa EATV na watu walio kwazwa?

Kafuta kwasabu watanzania niwajinga.
Kwa title ya mafuvu, kama angeandika tu kaondoka pale eatv yangeibuka maneno mengi sana, ikiwemo kusema kafukuzwa, ila kwakua yeye ndo kajiondokea na kuweka wazi yamoyoni anaonekana mbaya.

Simtetei mafuvu kuweka post ile, ila waTZ tupo kama wachawi.
 
daah ad mafuvu hayupo tena eatv/fm!?

hawa clouds sio watu wazuri saanaa wanajua kufanya fitna!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…