Smart Guy
JF-Expert Member
- Dec 19, 2016
- 6,808
- 6,934
Hujui maDj siku hizi wanaelekezwa mpaka namna ya kumix? Mpk Playlist wanaandaliwa.
Ata hivyo awa East Africa lazima wanamatatizo haiwezekani watu wote hao wakimbie kirahisi rahisi hivyo, mishahara ya radios ni midogo pote tu hila wao hawana fair ndio maana wanashindwa kuretain watu.