DJ Afro amepata deal na Netflix

DJ Afro amepata deal na Netflix

Mtanzania mgani anamfahamu huyu DJ wetu pendwa anayeitwa DJ Afro? Movies zake zimefika huko kwenu? Netflix imeamua imtumie kujiadvertise maana anapendwa sana huko vijijini na vitongojini.



Halafu Kenya ndio nchi pekee ya Afrika ambapo Netflix ni free. Yaani unadownload netflix app na unaweza kutazama robo (1/4) ya movies bila malipo.

Alafu utasikia jitu linasema utafiti unaonyesha Tz ndo nchi yenye cheap data bundles EA😂😂😂
 
Back
Top Bottom