Dj Ally ni nani?

Dj Ally ni nani?

Unalipa temporary na hawa vijana wetu wa sasa wasipowekeza itawapa shida mapema. Huu udj wa kupiga kwenye ma bar tena hakuna kiingilio unaenda na trend, wakija wengine na vitu tofauti hupati tena gigs.

Tatizo wengi wanapumbazwa na hizi weekly events za kwenye mabar wanasahau kuwekeza kwa fans. Ndio maana hawawezi kuandaa events zao zenye kiingilio ambazo ndio zitawapa fans wa kudumu.

Unafikiri Dj Peter Mo, Boniluv na JD wamezaje kutengeneza fans base hadi leo? Hao fans wao ni wale wale waliokula raha kwenye events zao kumbi mbalimbali. Wamekuwa na radio shows masaa ya kutosha kuonesha skills. Inabidi na hawa wa sasa warudishe hiyo influence itawasaidia baadae.



Sent from my SM-A315F using JamiiForums mobile app
Kila kitu duniani ni temporary.... Ajira za kawaida, sanaa, mpira hata huu U-Dj wa huyu mwamba... Atatrend kwa muda, mpaka atapokuja mwingine , scene yake inaisha anakuja mwingine.. Ni juu yake anafikiria au anautimiaje umaarufu wake kwa maisha ya baadaye.. Hili si swali kwake huyu bali kwa kila mmoja wetu, ingawa wanaonekana kunyooshewa kidole ni watu maarufu zaidi.... Ulaya, Marekani wengi wamepita na wanaishi maisha ya upweke na majuto... Kwa kweli ni kitu kigumu kuweza kumantain life legacy... Wameweza wafanya biashara, lakini mpaka pale wanapokuwa wamefanikiwa kuingiza vizazi vyao.. Mtoto uliyenaye awe wa kiume au kike ni muhimu sana... Hasa unapowatumia kuendeleza legacy yako... Tuombee na kuwaendeleza watoto, kwani watabeba maono ya familia zetu baadaye..Asante
 
Kiukweli ukiona mtu anagawa pesa.... Muogope sana mtu huyo.
Watu aina hii tunawaita wazee wa system, kadiri anavyogawa ndivo anavyopata.
Hizo pesa si salama, kaa chonjo
..
 
Mtu anagawa pesa Halafu akiumwa hapa unamkuta anaanza kuomba tena michango online. Haya maisha yanachekesha sana wakati mwingine
 
Ninamfahamu zaidi ya miaka kumi kwenye kazi yake....
Sema toka miaka hiyo huwa na ushamba fulani....
Ni mshamba tu
Wabongo mna hasira kwenye almost kila kitu, mna hasira hadi kwa namna watu wanavyozitumia pesa zao ambazo hamkuwasaidia kuzisaka.
 
Back
Top Bottom