DJ anahujumu disko kwasababu nacheza na demu wake

kilambimkwidu

JF-Expert Member
Joined
Jul 21, 2017
Posts
6,097
Reaction score
7,199
Waungwana huku kumedoda...

Nipo club hapa DJ anahujumu disko, anapiga nyimbo ambazo 'hazibambi'. Muda wote ananikodolea macho mie nipo kwenye dancing floor...huyu demu ninaecheza nae inasemekana ni demu wa DJ. Kweli naona DJ ananikodolea macho na kama anampa 'baby' ishara flan ivi. Mie sijali...nasakata Rhumba tu. Ila kinachonisikitisha jamaa anapiga nyimbo za hovyo sana.

Tayar saa 6 kasoro hii bado anapiga nyimbo za akina NTOMBI, KATITU, KANDA BONGOMANI na akina ALAN NKOUNKOU. Hii ni hujuma, hapigi 'ngoma' za kileo....mfano KIJUSO ya RayVan, MOYO SUKUMA DAMU SI VINGINE ya Ditto, HAINAGA USHEMEJI n.k.

Kwa kawaida hua saiz disko linakua limechanganya lakn leo naona 'booth' limedoda kias kwamba DJ anajisahau hadi wimbo unaisha na watu wanasubir "apress play" nyimbo nyingine utazan anapiga kwa "santuri"

Nataka kumreport kwa Meneja. Hii itakua sawa?

An ant on the move does more than a dozing ox.
 
You are just boys growing up.

And your girl a minor.

Lucky you 30 year sentence doesn't apply so hump away boys. Hump your senses away.
 
Beba mtoto uhamie club nyingine ukabambie kwa laha zako, DJ asikuletee mambo ya kikuda!
Ila mada yako imenichekesha. Kweli JF kuna watu na viatu... 😀
[emoji3] [emoji3] [emoji3]

An ant on the move does more than a dozing ox.
 
kweli disko kaingia mmasai.
Anazingua sana DJ
Huez amin...anapga nyimbo sjawah ata ziskia. Huyu jamaa sjui vp?? But dem naona karelax tu, hajali.

An ant on the move does more than a dozing ox.
 
Huu ndio ubaya wa kuwaruhusu wamasai waingie kwenye disco.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…