DJ anahujumu disko kwasababu nacheza na demu wake

DJ anahujumu disko kwasababu nacheza na demu wake

Sikilizia ukiona ameweka track ya young dee Leo nanunua bunduki
Timuaaaaaaaaaaaaa.

Delta Force

Saiv anapiga "Naliamsha Dude" ya Joh Makini na Nikki wa II. Hii ngoma inanipa wasiwasi

An ant on the move does more than a dozing ox.
 
You are just boys growing up.

And your girl a minor.

Lucky you 30 year sentence doesn't apply so hump away boys. Hump your senses away.
Haki ya nani kwa kizungu hiki ukiongea magogoni kwa mkulu utapimwa mkojo na mkemia....(sijaambulia kitu)!!

An ant on the move does more than a dozing ox.
 
Saiv anapiga "Naliamsha Dude" ya Joh Makini na Nikki wa II. Hii ngoma inanipa wasiwasi

An ant on the move does more than a dozing ox.
Tuma maspy waangalie kama hajakaa na sime hapo studio.....usije ukaamshiwa dude.

Delta Force
 
Updates: Baunsa kaniita ...ananiuliza "Huyu demu unamfaham?? Nakuuliza kwa usalama wako"

Hii sasa ishakua tabu!

An ant on the move does more than a dozing ox.
 
Mama mkwe anataka mtoto Halafu we unashinda club...Utapokonywa Mke mkuu
 
Back
Top Bottom