kilambimkwidu
JF-Expert Member
- Jul 21, 2017
- 6,097
- 7,199
- Thread starter
-
- #21
Saiv anapiga "Naliamsha Dude" ya Joh Makini na Nikki wa II. Hii ngoma inanipa wasiwasiSikilizia ukiona ameweka track ya young dee Leo nanunua bunduki
Timuaaaaaaaaaaaaa.
Delta Force
Mjomba mjomba huyu ,hana lolote.Beba mtoto uhamie club nyingine ukabambie kwa laha zako, DJ asikuletee mambo ya kikuda!
Ila mada yako imenichekesha. Kweli JF kuna watu na viatu... 😀
Haki ya nani kwa kizungu hiki ukiongea magogoni kwa mkulu utapimwa mkojo na mkemia....(sijaambulia kitu)!!You are just boys growing up.
And your girl a minor.
Lucky you 30 year sentence doesn't apply so hump away boys. Hump your senses away.
Tuma maspy waangalie kama hajakaa na sime hapo studio.....usije ukaamshiwa dude.Saiv anapiga "Naliamsha Dude" ya Joh Makini na Nikki wa II. Hii ngoma inanipa wasiwasi
An ant on the move does more than a dozing ox.
Mwambie ungekuwa humjui usingembambia.Updates: Baunsa kaniita ...ananiuliza "Huyu demu unamfaham?? Nakuuliza kwa usalama wako"
Hii sasa ishakua tabu!
An ant on the move does more than a dozing ox.
Hahahahaaa! Unagida dompo? Na upo kwenye "dancing floor"?Nakunywa Dompo mkuu
An ant on the move does more than a dozing ox.
Asante saana kwa bonge la burudan daah umenikumbusha long time..tuki party
Hahaaa.Haki ya nani kwa kizungu hiki ukiongea magogoni kwa mkulu utapimwa mkojo na mkemia....(sijaambulia kitu)!!
An ant on the move does more than a dozing ox.
Weekend tunapunguza stress mkuu [emoji23]Mama mkwe anataka mtoto Halafu we unashinda club...Utapokonywa Mke mkuu
Hairuhusiwi kwan au?Hahahahaaa! Unagida dompo? Na upo kwenye "dancing floor"?
Picha ya nan sasa?Picha tafadhali
Ahahah ndio hivyo mkuuShabaaashh....kwel aisee. Hawa 'madogo' hua nawachanganya ujue
An ant on the move does more than a dozing ox.