DJ D Ommy kuondoka Clouds Media Group (CMG) kunani?

Nyamwi255

JF-Expert Member
Joined
Dec 2, 2022
Posts
4,848
Reaction score
12,776

Habari za wakati huu Wana JF, ni takribani wiki tatu Toka mkuu Wa maudhui clouds media group ndugu Sebastiani alivokuja na urithi Wa marehemu captain gadner G Habash na kutangaza warithi Wa jahazi. Miongoni mwa warithi alowatangaza ni:

✓George bantu
✓Hamisi mandi
✓Adam mchomvu
✓Bigchawa
✓Dj d ommy

Toka alivotangaza urithi huo sikuwahi kumskia dj d ommy pale clouds fm, ikabidi nifatilie kwa bahati nzuri nikakuta kwenye bio yake pale Instagram kabadilisha na kwa Sasa ni head of music department Crown FM.

Anaejua chanzo cha the internation DJ D Ommy kuhama CMG atutonye.

Naishia hapa.

PIA SOMA
- DJ D Ommy ajiunga na Crown FM kutoka Clouds FM
 
Habari za wakati huu Wana JF, ni takribani wiki tatu Toka mkuu Wa maudhui clouds media group ndugu Sebastiani alivokuja na urithi Wa marehemu captain gander G Habash na kutangaza warithi Wa jahazi. Miongoni mwa warithi alowatangaza ni:
✓George bantu
✓Hamisi mandi
✓Adam mchomvu
✓Bigchawa
✓Dj d ommy
Toka alivotangaza urithi huo sikuwahi kumskia dj d ommy pale clouds fm, ikabidi nifatilie kwa bahati nzuri nikakuta kwenye bio yake pale Instagram kabadilisha na kwa Sasa ni head of music department crown media
Anaejua chanzo cha the internation dj d ommy kuhama CMG atutonye.
Naishia hapa.
 
Sorry DJ j nani......
Hiyo international ni ubini wake au umempapika wewe😶..
Si kwania mbaya lakini Mimi simfahamu mtu huyu
 
Sorry DJ j nani......
Hiyo international ni ubini wake au umempapika wewe😶..
Si kwania mbaya lakini Mimi simfahamu mtu huyu
Hii ni kwa mujibu wake ndo anavojiita sjui alitumia kigezo gani kujiita hivo.
Ni dj
 
Tafuta pesa dogo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…