Kindeena
JF-Expert Member
- Sep 27, 2017
- 11,462
- 21,124
Nina jibu kama hili.Kusaga kampeleka Crown kuongeza nguvu! Wote watoto wa baba mmoja.
Kusa kaelemewa na EFM, sasa kaamua kuanzisha dundo jipya Crown FM, maana Clouds limepwaya
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nina jibu kama hili.Kusaga kampeleka Crown kuongeza nguvu! Wote watoto wa baba mmoja.
Watu wazima hawahangaiki na ajira za madisco jokeryUna kigezo gani cha kuniita dogo?
Na nitafute pesa Kwani nimekwambia nimepoteza pesa Mimi? Acha makasiriko jombi.
huwezi kuchanganya kazi na ngono halafu ukadumu popote paleSinyorita alipotelea wapi
Yuko bungeni kwa NapeHuyo dj anapatikana wapi mkuu au anafanya kazi media ipi?