Kindeena JF-Expert Member Joined Sep 27, 2017 Posts 11,462 Reaction score 21,124 May 20, 2024 #21 muhomakilo jr said: Kusaga kampeleka Crown kuongeza nguvu! Wote watoto wa baba mmoja. Click to expand... Nina jibu kama hili. Kusa kaelemewa na EFM, sasa kaamua kuanzisha dundo jipya Crown FM, maana Clouds limepwaya
muhomakilo jr said: Kusaga kampeleka Crown kuongeza nguvu! Wote watoto wa baba mmoja. Click to expand... Nina jibu kama hili. Kusa kaelemewa na EFM, sasa kaamua kuanzisha dundo jipya Crown FM, maana Clouds limepwaya
Nyamwi255 JF-Expert Member Joined Dec 2, 2022 Posts 4,848 Reaction score 12,776 May 20, 2024 Thread starter #22 Vichekesho said: Enzi za ma DJ zimepita, sasa tuna DJ EAUNICE Click to expand... Huyo dj anapatikana wapi mkuu au anafanya kazi media ipi?
Vichekesho said: Enzi za ma DJ zimepita, sasa tuna DJ EAUNICE Click to expand... Huyo dj anapatikana wapi mkuu au anafanya kazi media ipi?
TIMING JF-Expert Member Joined Apr 12, 2008 Posts 28,186 Reaction score 15,549 May 20, 2024 #23 Nyamwi255 said: Una kigezo gani cha kuniita dogo? Na nitafute pesa Kwani nimekwambia nimepoteza pesa Mimi? Acha makasiriko jombi. Click to expand... Watu wazima hawahangaiki na ajira za madisco jokery
Nyamwi255 said: Una kigezo gani cha kuniita dogo? Na nitafute pesa Kwani nimekwambia nimepoteza pesa Mimi? Acha makasiriko jombi. Click to expand... Watu wazima hawahangaiki na ajira za madisco jokery
Nyamwi255 JF-Expert Member Joined Dec 2, 2022 Posts 4,848 Reaction score 12,776 May 20, 2024 Thread starter #24 TIMING said: Watu wazima hawahangaiki na ajira za madisco jokery Click to expand... Nani anahangaika Sasa sjakuelewa bado
TIMING said: Watu wazima hawahangaiki na ajira za madisco jokery Click to expand... Nani anahangaika Sasa sjakuelewa bado
C Cognizant JF-Expert Member Joined Aug 13, 2022 Posts 626 Reaction score 1,409 May 20, 2024 #25 Mtoto halali na hela said: Sinyorita alipotelea wapi Click to expand... huwezi kuchanganya kazi na ngono halafu ukadumu popote pale
Mtoto halali na hela said: Sinyorita alipotelea wapi Click to expand... huwezi kuchanganya kazi na ngono halafu ukadumu popote pale
mrangi JF-Expert Member Joined Feb 19, 2014 Posts 88,759 Reaction score 123,368 May 20, 2024 #26 Eh basi nchi itakuwa kwenye hali mbaya huyo dj kuondoka clouds 😄 Maisha yatakuwa magumu Ova
Mcheza Piano JF-Expert Member Joined Mar 2, 2024 Posts 562 Reaction score 1,339 May 20, 2024 #27 Nyamwi255 said: Huyo dj anapatikana wapi mkuu au anafanya kazi media ipi? Click to expand... Yuko bungeni kwa Nape
Nyamwi255 said: Huyo dj anapatikana wapi mkuu au anafanya kazi media ipi? Click to expand... Yuko bungeni kwa Nape