DJ Fetty ana-fit kila kipindi

DJ Fetty ana-fit kila kipindi

PB,fetty hapawez yeye abaki tu XXL labda na JAHAZI
 
Hajaweza kuvaa viatu vya Barbara
 
DJ Fetty ni supa sana rahisi mno kuonewa wivu na wanawake wenzio bcoz she is fire, sauti kali, speed ya kuongea kali, ni super super
 
DJ Fetty ni supa sana rahisi mno kuonewa wivu na wanawake wenzio bcoz she is fire, sauti kali, speed ya kuongea kali, ni super super

Cha msingi tunachoangalia ni content kichwani na kipindi husika hayo mengine ni yake….

Mfano tumchukue Adam Xxl tumuweke PB unajua kitakachotokea Ndugu[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
 
DJ Fetty ni nani hapa nchini?

Ana umuhimu gani kwenye Royal tour?

Faida yake ni ipi kwa Taifa?
 
DJ Fetty ni supa sana rahisi mno kuonewa wivu na wanawake wenzio bcoz she is fire, sauti kali, speed ya kuongea kali, ni super super
Shida yetu hatupend kuambiwa ukweli, huwezi kuwa mahiri kote fetty ni mzuri mno kwenye mambo ya burudani
 
Back
Top Bottom