Tetesi: DJ Fetty aondolewa Clouds Media kwa madai ya Kuikosoa Serikali

Majizi ya Ccm hayapendi ukweli, kwakua Fetty ni mwanaharakati wa Nyumbu wa Chadema aende mtandao wa X akaendelee kukosoa kama Maria Sarungi
 
Duh,
Sasa kuna tofauti gani kati ya Clouds na TBC?

Audience yao lazima ishuke sana kama wamekubali kuwa wana-propaganda, aka machawa
 
Waambie yesu kristo ni bwana na mwokozi haya madaraka watayaichia kwa uchungu huku wakioza makaburini,waambie wamrudie bwana,wakumbushe wenye kiburi walivyolala makaburini wakioza walikuwa na kila kitu
Wafuasi wa yesu akili mmeshikiwa na mwamposa kusimamishwa kazi na kuja kwa yesu inahusiana nini? Au ajiite Nabii Fetty aje awapige hela kama mwamposa
 
Nyumbu
 
MJAZENI UJINGA HALAFU YAKIMKUTA MNAANZA FREE FETTY NYIE MKO NYUMBANI YEYE ANANYEA NDOO MBWA NYIE
 
JOka kuu liondoke tu lisiendelee kuharibu Tanganyika
 
Nasikia kaondolewa kwa tuhuma za usagaji
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…