Tetesi: DJ Fetty aondolewa Clouds Media kwa madai ya Kuikosoa Serikali

Serikali inayojipitisha mlango wa nyuma bila kufuata taratibu haiwezi kujari
 
Kwa mujibu wa andiko la Martini Maranja Masese, licha ya Dj Fetty Kukidhi vigezo vyote vya Kitaaluma kwa Mujibu wa Bodi ya Ithibati, ameondolewa akzini.

ANDIKO LENYEWE HILI HAPA KAMA NI KWELI NI DALILI MBAYA SANA

Pole sana Bi. Fatma H. Ahmed (@thebestfetty). Tunaelewa kwamba wenye mamlaka wameelekeza uondolewe katika kipindi cha #PowerBreakfast ndiyo maana wasikilizaji hawasikii sauti yako. Tunaelewa, mwajiri wako amepewa maelekezo na amepokea. Kwamba (wewe) ni mkosoaji. Kwa kuwa wewe ni mwanahabari nguli uliyekidhi vigezo vyote vya kitaaluma, usivunjike moyo. Tumia mitandao yako ya kijamii kuendelea kuhabarisha umma. Faida itakuja kesho. Katika ulimwengu wa sasa, mainstream media siyo mlango pekee wa kufanikiwa katika tasnia ya habari na mawasiliano. Social Media ni jukwaa kwa kila mtu. Jikite hapa. Tutakusoma na kukusikiliza. Usijute na kuumizwa na jambo hilo. Bosi wako ameshindwa kukulimda mbele ya meza ya watawala. Bosi wako ameamua kuwa mbinafsi. Naelewa, kwa heshima uliyonayo kwake, na labda hofu ya kuikwaza mamlaka, hutoweza kusema lakini sisi TUTASEMA kwa niaba yako. USIOGOPE. Wenye hatia wanayo hofu. The guilty are afraid.
Iko siku hata Balile atazuiliwa, hii ni kwa sababu shetani hana rafiki

SURATI ZUBAA  Ndio surati zubaa, pengine tumesomewa, Sivyo tusingebung'a...jpg
 
Kwa mujibu wa andiko la Martini Maranja Masese, licha ya Dj Fetty Kukidhi vigezo vyote vya Kitaaluma kwa Mujibu wa Bodi ya Ithibati, ameondolewa akzini.

ANDIKO LENYEWE HILI HAPA KAMA NI KWELI NI DALILI MBAYA SANA

Pole sana Bi. Fatma H. Ahmed (@thebestfetty). Tunaelewa kwamba wenye mamlaka wameelekeza uondolewe katika kipindi cha #PowerBreakfast ndiyo maana wasikilizaji hawasikii sauti yako. Tunaelewa, mwajiri wako amepewa maelekezo na amepokea. Kwamba (wewe) ni mkosoaji. Kwa kuwa wewe ni mwanahabari nguli uliyekidhi vigezo vyote vya kitaaluma, usivunjike moyo. Tumia mitandao yako ya kijamii kuendelea kuhabarisha umma. Faida itakuja kesho. Katika ulimwengu wa sasa, mainstream media siyo mlango pekee wa kufanikiwa katika tasnia ya habari na mawasiliano. Social Media ni jukwaa kwa kila mtu. Jikite hapa. Tutakusoma na kukusikiliza. Usijute na kuumizwa na jambo hilo. Bosi wako ameshindwa kukulimda mbele ya meza ya watawala. Bosi wako ameamua kuwa mbinafsi. Naelewa, kwa heshima uliyonayo kwake, na labda hofu ya kuikwaza mamlaka, hutoweza kusema lakini sisi TUTASEMA kwa niaba yako. USIOGOPE. Wenye hatia wanayo hofu. The guilty are afraid.
Fetty anawajibika kumuandikiavwakiki kipangula katibu wa bodinya ithibati kuulizia hilo suala kama ni kweli wamemzuia inaweza kuwa ni uongo tu
 
Kwa mujibu wa andiko la Martini Maranja Masese, licha ya Dj Fetty Kukidhi vigezo vyote vya Kitaaluma kwa Mujibu wa Bodi ya Ithibati, ameondolewa akzini.

ANDIKO LENYEWE HILI HAPA KAMA NI KWELI NI DALILI MBAYA SANA

Pole sana Bi. Fatma H. Ahmed (@thebestfetty). Tunaelewa kwamba wenye mamlaka wameelekeza uondolewe katika kipindi cha #PowerBreakfast ndiyo maana wasikilizaji hawasikii sauti yako. Tunaelewa, mwajiri wako amepewa maelekezo na amepokea. Kwamba (wewe) ni mkosoaji. Kwa kuwa wewe ni mwanahabari nguli uliyekidhi vigezo vyote vya kitaaluma, usivunjike moyo. Tumia mitandao yako ya kijamii kuendelea kuhabarisha umma. Faida itakuja kesho. Katika ulimwengu wa sasa, mainstream media siyo mlango pekee wa kufanikiwa katika tasnia ya habari na mawasiliano. Social Media ni jukwaa kwa kila mtu. Jikite hapa. Tutakusoma na kukusikiliza. Usijute na kuumizwa na jambo hilo. Bosi wako ameshindwa kukulimda mbele ya meza ya watawala. Bosi wako ameamua kuwa mbinafsi. Naelewa, kwa heshima uliyonayo kwake, na labda hofu ya kuikwaza mamlaka, hutoweza kusema lakini sisi TUTASEMA kwa niaba yako. USIOGOPE. Wenye hatia wanayo hofu. The guilty are afraid.
Aende Chadema Media
 
Amesajiriwa na JAB? Yaani mtu ameshindwa kukizi vigezo leo hii mnakuja kutulilia humu? Hii ni ngumu kuitetea.. kuna watu watafanya makosa kazini alafu waondolewe kazini mtakuja kulialia eti kisa anaikosoa serikali
 
Back
Top Bottom